conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,127
- 783
salaam!
nimeanzisha ufugaji na nataka kuwa na shamba kubwa la ufugaji,eneo nimepata na nimeanza kiasi sehemu nyingine kabla sijahamia rasmi kwenye shamba kubwa
gharama ya kununua chakula iko juu,je kuna mtu anafahamu sehemu ambapo mashine zinauzwa za kutengeneza vyakula vya mifugo hasa kuku.na wastani bei kiasi gani kwa mashine hizo?
zinatumia mafuta au umeme?
naomba msaada