Kwanini ugonjwa wa mafua huwa unawashambulia sana Kuku chotara

MANIcan

Member
Oct 20, 2019
6
3
Ninaomba kwa anayejua hivi ni kwanini ugonjwa wa mafua huwa unawashambulia sana kuku hawa, na ni kwanini ukitumia dawa unaisha kwa muda na unarudi tena.

Nahitaji msaada wafugaji wenzangu na wataalamu wa ufugaji huu.
 
sio kuku chotara pekee. mafua yanawaathiri. mafua hushambulia kuku aina zote, unachotakiwa kufanyia kazi ni kuondoa visababishi tu kama vile usafi wa banda na vyombo, usiruhusu watukuingia ovyo bandani au kuku wa jirani kuja kuingia bandani.
usipokuwa makini na vitu hivyo ugonjwa huu unaweza kushambulia kuku wako kila wiki.
 
Uko sawa
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom