Habari wana JF!
Naomba tujuzane kuhusu bei za nafaka zinazotumika kufugia kuku na wanyama wengine kama; Unga wa sangara, unga wa dagaa, mashudu ya alizeti, wheat pollard, mashudu ya nazi, soya...
Habari wanajamvi, mimi ni muajiriwa katika shirika moja lisilo la kiserikali na kazi ninayojishughulisha nayo nje ya ajira yangu ni kilimo. Pia nina malengo ya kufuga kuku wa aina zote yaani...
Ninataka kupanda mahindi ya pannar pamoja na mbolea ya dAp ila mvua inasumbua Sana kunyesha je nikipanda na mvua ikakataa kwa muda je mahindi niliyopanda na mbolea yanaweza kuota Kweli??
Habari wana jamvi ninahitaji vifaranga vya kuku mwezi mmoja chotara au black leghon ambavyo vimeisha pata chanjo na vimeifadhiwa vizuri.
Ninaomba kama unaweza kuvipata au unajua kitalu kizuri...
Nina option ya kukopa tractor mojawapo kati ya haya mawili. Yote ni used, yapo Denmark. Wajuzi wa matrekta na wazoefu wa kilimo, naombeni ushauri, kati ya trekta hizo mbili, nichukue ipi ili...
Morning rafk zangu.habari ya jumapili. Leo naomba niingie kwenye kilimo cha mchicha na faida zake.
Mchicha ni mojawapo ya mboga za asili ambayo hulimwa katika mikoa yote hapa nchini. Mboga hii...
Wanajamvi, kwa yeyote ambaye ana taarifa ya minada ya korosho kwa leo tarehe 9/10/2020 utujuze maana wiki jana zilitoka taarifa kwamba vyama vikuu vya ushirika RUNALI, TANECU na MAMCU vitaanza...
Natumaini muwazima wa afya humu ndani, naomba anae jua biashara hii ya magari haya, anieleweshe inaendaje? Nataka nikope benk, ninunue kama vi 3, je zina faida?
Encyclopaedia ni kitabu kinachotoa taarifa kwa alphabeti. Wataalamu wetu mkiwa na wazo la kutengeneza kitabu cha muongozo wa kilimo bora cha mazao mbali mbali utakua ni msaada mkubwa kwa jamii...
Nipo kijijini kwetu one time.. hapa home kwa wazazi wanafuga bata miaka mingi saana. Sasa ile siku nafika toka town waliniambia nichinje bata kwa ajili yangu mgeni. Then nikichinja niwaite...
Wataaalam na wanazengoo kilimo kipi kinalipa mtajii milon 7.5 isiwe tuu perishable fruit na maanisha vyakula vya kuoza hapana sitaweza kulima nataka mazao yenye life span kubwa nakaribisha ushauri.
Habari, ningependa kufahamu kama kuna mfugaji wa bata wa aina mbalimbali ndani ya manispaa ya Morogoro.
Kama yupo, tuwasiliane niende nikamtembelee anapofugia na nitanunua bata kwake. Nimeanza...
Wanajamvi,
Naombeni msaada kama kuna mkazi wa Mbeya Uyole au Mbulu, nahitaji kukodi shamba heka kuanzia 2 ili nikalime huko maisha magumu huku mjini.
Kama yupo tafadhali naomba umsaada wa...
Wanajamvi habarini.
Nimeanzisha bustani ya mbogamboga ila changamoto nnayoipata ni katika umwagiliaji kwani maji ya kumwagilia nayachota kisimani (bustani inahitaji kama ndoo 100 kwa siku)...
Haya wakulima wenzangu wale, wafanya biashara pia na makampuni mbalimbali katika kuelekea kilele cha siku ya wakulima almaarufu nanenane naomba tutumie uzi huu kupeana updates. Ni kwa namna gani...
Habari zenu.
Nimewahi kuuliza swali kuhusu mashamba ya kulima Ruvu,nikabahatika kupata maelezo,nikaenda na nimeanza.
Lakini,uzi ulioniongoza nimeutafuta sijauona,ila nimetumia muongozo...
Habari zenu
Wakuu mimi ni kijana mwenye ndoto na imani kubwa sana kwenye kilimo nilikuwa naomba muongozo kwa yeyote anayeijua Rufiji anifahamishe maeneo mazuri na Ardhi nzuri yenye rutuba
Ni...
Habari wakuu.naomba ushauri,ninazo heka mbili pembeni ya mto Ruvu.nilime zao gani la kumwagilia.Ambalo halichukuu muda mwingi kuvuna, pia kama kuna mtu atapenda tuunge pamoja nguvu...