ntita
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 513
- 285
Wanajamvi habarini.
Nimeanzisha bustani ya mbogamboga ila changamoto nnayoipata ni katika umwagiliaji kwani maji ya kumwagilia nayachota kisimani (bustani inahitaji kama ndoo 100 kwa siku).
Hivyo nilikua naomba msaada wenu wa aina ya mashine (pump) isiyotumia umeme inayoweza kunisaidia kutoa maji kisimani
NB:
Iwe ya gharama nafuu.
Natanguliza shukrani.