Kurugenzi ya Uraia na Udhibiti wa Uhamiaji ya Uganda (DCIC) imesema imepokea barua kutoka kwa Wanaume wasiopungua 32 wakitaka kufutwa kwa hati za kusafiria za watoto wao baada ya matokeo ya vipimo...
Raia 26 wa Uganda wamefungua Kesi Nchini Ufaransa wakidai utekelezaji wa mradi huo (EACOP) kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga umesababisha Madhara na umekiuka Haki za Binadamu ikiwemo Haki ya...
Takriban wanaume 32 wameiandikia Kurugenzi ya Udhibiti wa Uraia na Uhamiaji (DCIC) nchini Uganda, wakitaka kufutwa kwa hati za kusafiria za watoto baada ya matokeo ya DNA kuonyesha kwamba wao siyo...
Polisi nchini Uganda wanafanya uchunguzi wa tukio la Wanafunzi wanne (Wakiume) wa Chuo cha Jinja kudaiwa kumnyanyasa kingono mwanafunzi mwenzao (wakiume) mwenye umri wa miaka 15.
Taarifa...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kuwa hatimaye amepona virusi vya ugonjwa wa Covid-19 baada ya vita vya wiki mbili na virusi hivyo.
Mkuu huyo wa nchi mwenye umri wa miaka 78, katika...
Serikali ya Uganda imesema inapanga kuongeza umri wa unywaji pombe kutoka miaka 18 hadi 21 ili kukabiliana na unywaji pombe unaopita kiasi.
Akiongea katika kongamano la pili la Wakuu wa Kitaifa...
..Kwanini Tanzania imeshindwa kuwashawishi Uganda kujenga SGR kuelekea kwetu, na sio Kenya?
=====
Uganda yafuta mkataba wa China kutengeneza reli ya SGR, yaichagua kampuni inayojenga reli ya...
The Ministry of Education has withdrawn certificates for private schools asking all proprietors to register afresh ahead of the reopening of schools.
While addressing the press at the Uganda...
Inadaiwa kuwa mchungaji wao aliwaambia kwamba wangekutana na Yesu Kristo baada ya kufunga kwa siku 40.
Operesheni ya pamoja ya polisi sasa inaongoza msako wa kiongozi wa kikundi hicho, Simon...
Wizara ya Afya Uganda imesema Kiongozi huyo alianza kupata dalili za homa ya Mafua makali ingawa hali yake sio mbaya na anaendelea na kazi zake kama kawaida huku akipata matibabu.
Mapema Juni 7...
Idadi ya wanaume wanaotafuta vipimo vya vinasaba (DNA) kwa watoto wao imeongezeka, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani amesema.
Simon Mundeyi amesema asilimia ya wanaume wanaodai huduma ya DNA...
Musa Hasahya Kasera ana watoto wengi sana ambao hawezi kukumbuka majina yao mengi.
Mtu huyu kutoka kijiji cha Uganda anapambana kutoa mahitaji ya familia kubwa yake, ambayo anasema inajumuisha...
Rais Yoweri Museveni amesema yupo tayari kutoa ruzuku kwenye mbolea lakini sio kutoa ruzuku kwenye mafuta ya petroli ili Watu wakajazane na magari yao kwenye starehe zikiwemo ‘Night Clubs’ wakati...
Mseven AKA M7. Ameamua kuitolea uvivu Marekani na kusema kwamba hawatishiki na vitisho vyao, bali sheria yao ipo palepale. Mwamba anasema kama watapewa vikwazo watafanya biashara na mataifa...
Ni dhahiri kuwa mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika. Hii ni baada ya Museveni kuingia kwenye mgogoro mkali sana na Marekani kuhusiana na sakata la LGBTQ.
Ukweli ni kuwa unapokuwa rais wa...
President Museveni has linked the apparent appeal of his son, Gen Muhoozi Kainerugaba, to younger Ugandans to their “frustration” with weaknesses within the ruling National Resistance Movement...
Picha: Rais wa Uganda Yoweri Museveni
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekaidi wito wa Mataifa ya magharibi wanaotaka sheria kali dhidi ya ushoga ifutwe ikiwa ni moja ya sheria kali zaidi duniani...
Katika Nchi za Afrika Mashariki, Nchi ya Uganda imedhamiria kwa dhati kulinda maadili na utamaduni wa kiafrika kwa kutunga sheria kali ya kuwanyonga Hadi kufa mtu yeyote atakaye thibitika kuwa...
Kweli nimeamini Uganda hawana utani kabisa, kampeni takatifu ya kuwafyeka mashoga imeanza kwa kasi ya 5G
Wenye nyumba wameanza kuwatimua mashoga kwenye nyumba zao kwasababu sheria iko wazi kabisa...