Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema Jumanne kuwa amefanya kikao "chenye mafanikio" na wawakilishi wa kampuni ya intaneti ya satelaiti ya Elon Musk, Starlink, ambayo inapanua huduma zake...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, amegomea kuanza kusikilizwa kwa kesi yake ya uhaini Septemba 1, 2025, akimtuhumu Jaji Emmanuel Baguma kwa upendeleo. Besigye na mshirika wake...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Chama cha NRM nchini Uganda kimemteua Rais Yoweri Museveni kugombea tena urais katika uchaguzi mkuu wa Januari mwakani, hatua itakayompa nafasi ya muhula wa saba. Museveni mwenye umri wa miaka 80...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiongozi wa chama cha National Unity Platform (NUP), Robert Sentamu Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, amejitosa tena katika kinyang’anyiro cha urais nchini Uganda, ambapo uchaguzi mkuu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wenzetu Uganda wanakomaa na value chain ya Madini ya dhahabu ambapo hakuna mfanyabiashara anaruhusiwa kuuza na kusafirisha Madini ghafi ,yote yanasafishwa ndani ya Nchi. Sisi Tanzania tunakomaa...
1 Reactions
2 Replies
713 Views
Ameandika Bobi Wine, Mwenyekiti wa Chama cha NUP na Mbunge wa zamani wa jimbo la Kyadondo. _________ Kwa huzuni kuu na mioyo mizito tunasikitika kutangaza kifo cha cha mpendwa wetu, mwanaharakati...
3 Reactions
7 Replies
773 Views
Uganda imekubaliana na Marekani kupokea wahamiaji watakaorudishwa iwapo hawana rekodi za uhalifu na si watoto waliotengwa, ingawa masharti kamili bado yanajadiliwa. Serikali ya Uganda inapendelea...
1 Reactions
2 Replies
977 Views
Mwanasiasa wa Upinzani, Robert Kyagulanyi, amechukua fomu Tume ya Uchaguzi ya Uganda kwa ajili ya kuwania kiti cha urais 2026. Kyagulanyi, ambaye aliwakilisha jukwaa la Umoja wa Kitaifa katika...
2 Reactions
2 Replies
683 Views
Juni 18, 2025 kwenye mitandao ya jamii kulikuwa na video inayosambaa ikimwonyesha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya chama cha NRM, Dk Tanga Odoi akimkabidhi fomu ya kugombea ubunge Jenerali Moses...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mtayarishaji wa maudhui wa TikTok na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere, Elson Tumwine, anasubiri kusomewa hukumu baada ya kukiri kosa la kuhariri taarifa inayodaiwa kuwa ya Spika wa Bunge...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakati jua lilipochomoza kwenye eneo la Bonde la Ufa katika wilaya ya mbali ya Magharibi ya Kikuube, Jennifer Nyangoma mwenye umri wa miaka 45 alienda kwenye kambi ya matibabu ya bure iliyokuwa...
0 Reactions
2 Replies
738 Views
Don't try this at home, school or anywhere
1 Reactions
3 Replies
815 Views
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, mshauri mwandamizi wa rais na mtoto wa Rais Yoweri Museveni, ameibua tena gumzo nchini baada ya kutangaza wazi nia yake ya kuwania urais kupitia ujumbe wa mitandaoni...
0 Reactions
4 Replies
784 Views
🇺🇬Wanaume nchini Uganda sasa wanaweza kuoa wake wengi kisheria, Mahakama ya Katiba imeamua. ✍Uamuzi huo umekuja baada ya Chama cha Wanawake Wanasheria (WPI) kupinga mila hiyo ya wanaume kuoa...
1 Reactions
4 Replies
628 Views
Jaji mstaafu wa Mahakama ya Juu ya Uganda, Profesa George Kanyeihamba, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84. Kifo chake kimethibitishwa na msaidizi wake binafsi aliyejitambulisha kwa jina la...
0 Reactions
3 Replies
701 Views
Jenerali Moses Ali, Naibu Waziri Mkuu wa Pili wa Uganda, ameanza rasmi kampeni zake za kugombea tena kiti cha ubunge cha East Moyo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2026. Akiwa na umri wa miaka 86...
0 Reactions
7 Replies
918 Views
Kampala, Uganda Ombi limewasilishwa katika Mahakama Kuu ya Uganda kutaka kumwondolea sifa mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Waziri wa Fedha chini ya utawala wa Idi Amin, Mheshimiwa Jenerali Moses...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Imagine hii tweet ni ya mtoto wa Rais na mkuu wa majeshi ya Uganda!! What a disgraced regime?🥸 ila Watusi ndivyo walivyo wabaguzi, wenye chuki na kuwaona watu wengine kama hawana haki ya kutawala...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Chama tawala nchini Uganda (NRM) kimemuidhinisha rais wa muda mrefu wa nchi hiyo Yoweri Museveni mwenye umri wa miaka 80, kuwa mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2026. Museveni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Helikopta ya kijeshi ya Uganda iliyokuwa kwenye operesheni ya Kikosi cha Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia imeanguka katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mogadishu siku ya leo Juni 02...
1 Reactions
1 Replies
573 Views
Back
Top Bottom