Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Mashariki mwa Uganda, kundi la Waislamu wenye itikadi kali limemuua Mchungaji Weere Mukisa, mke wake Annet Namugaya, na watoto wao wawili, Judith (7) na Sylvia (4), kwa kuwachomea nyumba usiku...
6 Reactions
103 Replies
7K Views
My Take Sina hakika kama wanajua ugumu wa utafutaji bila kutegemea mbeleko za Serikalini/siasa .👇👇 https://www.instagram.com/p/DGh7le-KXps/?igsh=MWlwYTRyNXpud2M1eQ==
5 Reactions
62 Replies
2K Views
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, Mshauri Mkuu wa Rais wa Uganda kuhusu Operesheni Maalum, hivi karibuni alitangaza kuwa ofisi yake itaanza kufanya ukaguzi wa vyombo vyote vya habari nchini, kwa...
0 Reactions
1 Replies
484 Views
Kiongozi wa upinzani wa Uganda, Dkt. Kizza Besigye amegoma kula chakula katika gereza la Luzira, Mjini Kampala kwa madai ya kupinga kuendelea kushikiliwa pamoja na kuhofia maisha yake. Dkt...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dkt Besigye alirejeshwa katika gereza la Luzira lakini sasa kwa amri ya Mahakama Kuu. Sio tena Mahakama ya Kivita. Huenda hayuko Luzira kwa haki lakini sasa yuko huko kihalali. Ifuatayo...
3 Reactions
7 Replies
817 Views
Polisi nchini Uganda imethibitisha kuwashikilia maafisa tisa wa Wizara ya Fedha kwa uchunguzi wa tuhuma za kudukua mifumo ya benki kuu na kuiba kiasi cha shilingi bilioni 62 (Dola Milioni 16.87)...
0 Reactions
7 Replies
718 Views
Wakuu, Wizara ya Afya nchini Uganda, imethibitisha mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Ebola, ‘Sudan Ebola Virus Disease’ (SVD) jijini Kampala baada ya sampuli kuthibitishwa na maabara tatu za...
1 Reactions
2 Replies
570 Views
Mahakama ya juu nchini Uganda imeamuru kuwa kesi zote zinazowahusu raia ambazo zilikuwa zikisikilizwa katika mahakama za kijeshi zisitishwe mara moja na kuhamishiwa katika mahakama za kawaida...
0 Reactions
4 Replies
932 Views
Mkuu wa Majeshi nchini Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, amesema mtu pekee anayemzuia kumshughulikia Mwanasiasa mashuhuri wa...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu. Taifa la Uganda linaloongozwa na Yoweri Museveni rasmi sasa limejiunga rasmi na BRICS kama moja ya nchi mshirika hivyo kuifanya Uganda kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki kujiunga na...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Vyombo vya habari vya Uganda vimeripoti madai kwamba ndege ya ujasusi ya Marekani aina ya Bombardier Challenger 604, iliyodaiwa kupita kwenye anga la Uganda na DRC, huenda ilipiga picha...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Inaonekana huko nchini Uganda masuala ya "hacking" na "cyber security" yamepamba moto mno. Wizara ya Fedha ya Uganda imethibitisha ripoti za vyombo vya habari kuhusu wadukuzi kuvamia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watu 15 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 100 hawajulikani walipo baada ya maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kuharibu makazi katika vijiji kadhaa mashariki mwa Uganda, wilayani...
1 Reactions
7 Replies
982 Views
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda, Kizza Besigye (68), anadaiwa kukamatwa na kuwa chini ya ulinzi wa kijeshi akiwa nchini Kenya. Mke wa Besigye...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Muuzaji wa viatu vya mitumba mwenye umri wa miaka 27, Bw. Juma Musuuza maarufu kama Madubarah, amekuwa TikToker wa tano wa Uganda kuwekwa rumande na Hakimu Mkuu wa Entebbe, Stella Maris Amabilis...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Mkuu wa majeshi wa uganda Gen Muhoozi Kainerugaba ametangaza kuwa kama taifa wana mgogoro na balozi wa Marekani William Depp na watachukua hatua asipo omba msamaha. Hapa bongo kuna yule Balozi...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Raia wawili wa Uganda wamewekwa kizuizini kwa madai ya kumtusi Rais Yoweri Museveni, mke wa rais Janet Museveni na mtoto wa rais Jenerali Muhoozi Kainerugaba kwenye jukwaa la la TikTok. Hakimu...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Wataalamu wa uchunguzi wa kitaalamu wa Uganda wametoa ripoti ya kina kuhusu asili na athari za uchafu wa anga ulioanguka katika maeneo ya magharibi mwa Uganda mnamo Mei 2023. Uchafu huo...
1 Reactions
0 Replies
656 Views
My Take Na 🇹🇿 ilitakiwa kusema hakuna Mpinzani Atakuwa Rais bila kupepesa macho.👇👇 Mkuu wa Jeshi la Uganda, ambaye pia ni mtoto wa kiume wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom