Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Kuzorota kwa Uchumi wa Kenya: Rais Uhuru Kenyatta amemtupia lawama Mgombea Urais, Raila Odinga(NASA). Amedai maandamano ya wapinzani yanachangia. Asema wanaweza kuendelea na maandamano lakini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Polisi nchini Uganda wamezifunga ofisi za chama cha upinzania cha 'Forum for Democratic Change (FDC)' kutokana na kupanga kufanya maandamano kupinga ukomo wa umri wa mgombea urais. Polisi wamekaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Niliwahi kukutana na jamaa mmoja mganda huko Kakurezato Japan, tukiwa pamoja mafunzoni na akanishangaza sana kuhusu yule aliyekuwa adui yetu watanzania miaka ya 70 nduli Idd Amin Dada. Alisema...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Spika wa Bunge la Uganda, Rebecca Kadaga, ameamuru rasimu ya muswada unaolenga kubadili kifungu cha katiba kinachoweka mkomo wa umri wa rais, upelekwe kwa wananchi. Hatua hiyo imeungwa mkono na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kampala, Uganda. Kikundi cha wanasheria kimemuomba Spika wa Bunge, Rebecca Kadaga kusitisha mjadala tata kuhusu Muswada wa marekebisho ya Katiba unaolenga kufuta ibara inayozungumzia ukomo wa...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Vitu vinavyokisiwa kuwa guruneti vimetumiwa kushambulia nyumba za wabunge wawili wa upinzani nchini Uganda, mmoja wao akiwa ni mwanamuziki ambaye sasa ni mbunge Bobi Wine, kwa mujibu wa gazeti la...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Spika wa Bunge la Uganda Rebecca Kadaga amewasimamisha waziri na wabunge 25 kuhudhuria vikao vya bunge kwa madai ya kushiriki katika vurugu ambayo ilimlazimisha kuahirisha kikao siku ya Jumatano...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Redirect
Baada ya kutokea mambo ya utovu wa nidhamu na hatimaye Wabunge kuchapana makonde kavukavu bungeni Uganda, uongozi wa bunge hilo umepiga marufuku matangazo mubashara kutoka bungeni. Hapa Tanzania...
0 Reactions
Replies
Views
Fujo zilizotokea kwenye bunge la Uganda zimepelekea kusitishwa kwa matangazo ya moja kwa moja ya kutoka bungeni yanayochochea umma, kwa mujibu wa habari iliyotoka kwa mdhibiti mawasiliano wa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wabunge nchini Uganda wamepigana ndani ya ukumbi wa bunge wakiwa katika siku ya pili ya kikao cha kujadili wa muswada wa kuondoa ukomo wa miaka ya kugombea nafasi ya urais kwa mjibu wa katiba ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Redirect
Naangalia hapa UBC Bunge live Uganda Wabunge wamemshinda Spika wanaimba kama walevi. Hadi wameamua kukata matangazo
0 Reactions
Replies
Views
Baraza la Viongozi wa Dini nchini limetoa wito kwa serikali kuruhusu hoja ya ukomo wa umri wa rais iamriwe na wananchi wote kwa kupiga Kura ya Maoni. Baraza hilo linalojumuisha wakuu saba wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Uganda Resist. Museveni MUST go!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Spika Jacob Oulanyah ameahirisha mjadala kuhusu ukomo wa umri wa rais hadi wiki ijayo baada ya kuona polisi wengi wamesambazwa kuzunguka jengo la Bunge, maeneo kadhaa ya jiji la Kampala na...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
To my brothers and sisters from Uganda. I humbly ask you help me get information to where I may get Japanese motors and bikes spare parts. It is said there in Uganda these things are sold at a...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema upelelezi kubaini sababu za ajali iliyosababisha vifo vya Watanzania 13 waliokuwa wakitoka harusini nchini humo unaendelea. Waziri wa Ofisi ya Rais...
0 Reactions
2 Replies
975 Views
Huyu ni Kiiza Besigye ambaye ni Mpinzani wa ukweli nchini Uganda akitoa maoni yake khs uchaguzi uliofanyika nchini Kenya, sasa linganisha na chadema yetu. Besigye anaongelea matatizo...
2 Reactions
54 Replies
4K Views
Takriban watu saba wametiwa nguvuni katika mji mkuu wa Uganda Kampala, kufuatia maandamano ya kupinga mapendekezo ya muswada wa sheria unaoondoa kikomo cha umri wa mtu anayegombea urais. Katiba...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri wa Afya, Sarah Opendi avaa Hijab na kujifanya mgonjwa katika hospitali ya Naguru ambayo ni ya Serikali na kubaini tabia ya rushwa ilivyokithiri. Kwa kutokujua kwamba ni Waziri, Daktari...
4 Reactions
24 Replies
5K Views
I am a Tanzanian, unbiased, open minded, great thinker; Interests declared. Well I have a discussion to propose and I present my argument as follows; Personally I find the country (Uganda) as a...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Back
Top Bottom