The Tanzania Petroleum Development Corp is confident a natural-gas pipeline to Uganda will start in 2021, according to acting MD Kapuulya Musomba.
At least 29 companies have shown interest in...
Makerere University has told lecturers to declare their love relationships with students to avoid conflict of interest so that the institution can help them manage their relationships...
Lulu Jemimah, raia wa Uganda na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza ameamua kujioa mwenyewe baada ya maneno ya kila wakati toka kwa wazazi & ndugu kutaka aolewe. Lulu mwenye umri...
MJAMZITO AZALISHWA NA WABUNGE: Wabunge watatu wa Kamati ya Afya nchini Uganda wamemsaidia mama mjamzito kujifungua katika kituo kimoja cha afya baada ya kumkuta mama huyo akiwa hana msaada wowote...
JUST HERE THINKING...
1- Kirumira fights Kayihura
2- Kayihura loses his job, gets arrested
3- Kirumira insists he has evidence pinning Kayihura
4-Kayihura gets Bail and ordered to stay in...
Maafisa wa upelelezi wamemkamata mwanamuziki Moses Nsubuga maarufu kama Viboyo baada ya kutoa wimo unaomkosoa Rais Museveni na Spika wa Bunge hilo Rebecca Kadaga
Kwa mujibu wa msemaji wa idara ya...
Jeshi la Uganda limezindua nembo mpya ya mipira ya kondomu ambayo inalenga kutumiwa na wanajeshi nchini humo.
Kondomu hizo zimepewa jina Ulinzi na zinatarajiwa kusaidia katika juhudi za kupunguza...
Kwa ufupi
Wakati polisi nchini Uganda wakionya mikusanyiko kwa ajili ya mapokezi ya mbunge wa Kyadondo, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, mwanasiasa huyo leo Septemba 20, 2018 amewasili...
Kila nchi mwanachama imetoa wataalam wawili
Kamati itakaa na kutoa rasimu ya kwanza ya katiba ya "Jamhuri ya Shirikisho la Afrika Mashariki" baada ya miaka mitatu (2018-2021)
Itatembea kila nchi...
Kila Mtu alidhani kama baada ya sasa kuwa amerudi nchini mwake Uganda basi ndiyo ingekuwa sehemu sahihi na wakati muafaka kabisa kwa Msanii Bobi Wine kuwaelezea sasa Wananchi wa Uganda jinsi ya...
Amani ni tunda la haki. Haki inapokuwepo, basi amani hutamalaki. Afande Kirumira, Mohammad, kamanda wa zamani wa Wilaya ya Buyende amekufa kiume na ameacha alama zisizoweza kusahaulika kamwe...
Mwananchi.
Rais Yoweri Museveni mwishoni mwa wiki iliyopita alizomewa na watu alipotembelea eneo ambalo aliyekuwa Kamanda wa Polisi Wilaya ya Buyende, Muhammad Kirumira aliuawa kwa kupigwa...
Kampala, Uganda. Maofisa wa Kikosi cha Kulinda Uvuvi, ambacho ni sehemu ya brigedi ya Jeshi la Majini (UPDF), wako chini ya uchunguzi kutokana na ukatili wanaodaiwa kuwafanyia wananchi wa jumuiya...
Updates.
Hon Bobiwine is about to land at Entebbe International Airport but some Journalists have been arrested & dispersed by Security Operatives.
Kampalafm.com