Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Lulu Jemimah, raia wa Uganda na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza ameamua kujioa mwenyewe baada ya maneno ya kila wakati toka kwa wazazi & ndugu kutaka aolewe. Lulu mwenye umri...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
MJAMZITO AZALISHWA NA WABUNGE: Wabunge watatu wa Kamati ya Afya nchini Uganda wamemsaidia mama mjamzito kujifungua katika kituo kimoja cha afya baada ya kumkuta mama huyo akiwa hana msaada wowote...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
JUST HERE THINKING... 1- Kirumira fights Kayihura 2- Kayihura loses his job, gets arrested 3- Kirumira insists he has evidence pinning Kayihura 4-Kayihura gets Bail and ordered to stay in...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Maafisa wa upelelezi wamemkamata mwanamuziki Moses Nsubuga maarufu kama Viboyo baada ya kutoa wimo unaomkosoa Rais Museveni na Spika wa Bunge hilo Rebecca Kadaga Kwa mujibu wa msemaji wa idara ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jeshi la Uganda limezindua nembo mpya ya mipira ya kondomu ambayo inalenga kutumiwa na wanajeshi nchini humo. Kondomu hizo zimepewa jina Ulinzi na zinatarajiwa kusaidia katika juhudi za kupunguza...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Kwa ufupi Wakati polisi nchini Uganda wakionya mikusanyiko kwa ajili ya mapokezi ya mbunge wa Kyadondo, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, mwanasiasa huyo leo Septemba 20, 2018 amewasili...
3 Reactions
40 Replies
7K Views
  • Poll Poll
Kila nchi mwanachama imetoa wataalam wawili Kamati itakaa na kutoa rasimu ya kwanza ya katiba ya "Jamhuri ya Shirikisho la Afrika Mashariki" baada ya miaka mitatu (2018-2021) Itatembea kila nchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila Mtu alidhani kama baada ya sasa kuwa amerudi nchini mwake Uganda basi ndiyo ingekuwa sehemu sahihi na wakati muafaka kabisa kwa Msanii Bobi Wine kuwaelezea sasa Wananchi wa Uganda jinsi ya...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Amani ni tunda la haki. Haki inapokuwepo, basi amani hutamalaki. Afande Kirumira, Mohammad, kamanda wa zamani wa Wilaya ya Buyende amekufa kiume na ameacha alama zisizoweza kusahaulika kamwe...
9 Reactions
13 Replies
4K Views
Mwananchi. Rais Yoweri Museveni mwishoni mwa wiki iliyopita alizomewa na watu alipotembelea eneo ambalo aliyekuwa Kamanda wa Polisi Wilaya ya Buyende, Muhammad Kirumira aliuawa kwa kupigwa...
8 Reactions
52 Replies
8K Views
Kampala, Uganda. Maofisa wa Kikosi cha Kulinda Uvuvi, ambacho ni sehemu ya brigedi ya Jeshi la Majini (UPDF), wako chini ya uchunguzi kutokana na ukatili wanaodaiwa kuwafanyia wananchi wa jumuiya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Updates. Hon Bobiwine is about to land at Entebbe International Airport but some Journalists have been arrested & dispersed by Security Operatives. Kampalafm.com
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanini raisi Museveni anahusishwa na huo wimbo anae juwa naomba tafadhari
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Raisi M7 amekataa kuteua mkuu wa idara ya taifa ya mipango na kuagiza kuajiriwa kwa wataalamu wa fani za sayansi katika wizara na idara zake ili kuweza kuchochea...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kupitia msemaji wake Ofono Opondo yautaka Muunganiko huo wa Ulaya kutatua matatizo yake kwanza na kuacha kuingilia masuala ya bara la Afrika Yasema haitakubali EU kuishurutisha kufanya masuala...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Maandamano haramu yameshaanza katika viunga mbalimbali vya mji wa Kampala huku Askari wa kutuliza ghasia wakiwa watazamaji tu. Naiomba serikali yangu ifanye kila liwezekanalo ili kuisaidia...
6 Reactions
234 Replies
21K Views
Back
Top Bottom