Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Mtoto wa miaka mitano nchini Uganda apatikana kuwa na Ebola, shirika la afya duniani (WHO) limethibitisha. Hiki ni kisa cha kwanza kuthibitishwa katika nchi hiyo wakati kukishuhudiwa mlipuko wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kiongozi wa upinzani Kizza Besigye na Mbunge Robert Kyagulani maarufu Bobi Wine nchini Uganda, wamekubaliana kufanya kazi kwa pamoja ili kukishinda chama kilichoko madarakani cha NRM cha Rais...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Zaidi ya watu sita wamethibitishwa kupoteza maisha na wengine zaidi ya 50 hawajulinaki waliko kufuatia maporomoko ya matope katika wilaya ya Bududa, mashariki mwa Uganda. Nyumba zaidi ya 150...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Uamuzi wa Serikali ya CCM inayoongozwa na Dkt John Pombe Magufuli ya kupiga marufuku pombe za viroba 2017 sasa umeigwa na nchi mbalimbali ikiwemo Serikali ya Uganda. Serikali ya Uganda nayo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Haaa uuwiii eti shirika la ndege litaanza kupata faida baada ya miaka 10,hii ni baada ya kufufuliwa,mbona sisi ATCL imepiga faida ya 29 billions ndani ya mwaka mmoja tena hayo maneno yamesemwa na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Source: The Guardian Sam Little arrested after Guardian exposed massive distribution network of MMS in Uganda that was being supervised by US pastor A British man has been arrested in Uganda on...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama muswada huo utapitishwa kuwa sheria basi itakuwa ni kosa kutoa msaada wa fedha, chakula na msaada mwingine kwa Watoto wanaoomba kando ya barabara za nchi hiyo Kwa mujibu wa mapendekezo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msemaji wa jeshi la polisi nchini Uganda Bw. Fred Enanga amesema, maiti mbili zimepatikana na watu kati ya 13 hadi 16 hawajulikani walipo baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kupinduka katika Ziwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna Watanzania walikuwa na ' dhihaka ' za kila aina ( GENTAMYCINE hayupo ) kwa Rais Dkt. Magufuli hasa pale alipokuwa akizipokea Ndege zako kadhaa zilipowasili na ' wakimcheka ' labda wakimuona...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Mwili wa Mtalii mmoja kutoka Saudia alikufa maji baada ya kutumbukia kwenye mto Nile nchini Uganda siku ya Jumamosi , sasa umepatikana. Kwa mujibu wa polisi nchini humo, Alsubaie Mathkar alikuwa...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni wimbo pamoja na video ambapo msanii Bobi Wine ameutunga na kuutengeza akiwa kizuizini nyumbani kwake yaani hatakiwi kutoka. Wanajeshi wakiwa nje yeye ndani yuko busy kuujulisha ulimwengu namna...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Tume ya mawasiliano ya nchini Uganda imeagiza kufungwa kwa vituo 13 vya radio na Televisheni pamoja na kufutwa kazi baadhi ya wanahabari kwa ''kupotoshaji' na kuchochea ghasia kwa kutangaza...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia Mjerumani, Bernhard Bery Glaser, kukamatwa na Jeshi la Polisi nchini Uganda kwa tuhuma za kuwatumia kingono zaidi ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mamlaka nchini Uganda imesema watu 18 wamethibitishwa kufariki na wengine 100 kujeruhiwa baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko wakati wa usiku kwenye wilaya mbili mashariki mwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Viongozi mbalimbali duniani wamemuonya Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni juu ya unyanyasaji wa serikali yake kwa mpinzani kijana anaependwa na Waganda na mbunge wa jimbo la kyadondo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
JESHI la Polisi limemweka katika kizuizi cha nyumbani mwanamuziki na Mbunge wa Kyadondo Mashariki, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine. Jeshi lilichukua hatua hiyo saa kadhaa baada ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo nimeona jinsi Bob Wine allivyokamtwa nimemkumbuka sana huyu Besigye ambaye alionekana kuwa machachari kwenye siasa za Uganda. Kama kweli ana nia thabiti ya kumng’oa M7 basi aungane na huyu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ugandan police detained pop star-turned-MP Bobi Wine on Monday after shutting down one of his concerts and firing tear gas at his fans, the singer's wife and supporters said. "He has been...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…