Waganda mjiandae na hotuba ya Museveni kesho

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
45,517
2,000
Baada ya 14 days kuisha. Mkuu ameomba kuhutubia taifa kueleza jitihada zaidi za kuchukua kuepukana na coronaa.

TujiaNdae na lolote
 

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
4,164
2,000
Nahisi atawaongezea nyingine, kama yule wa Nigeria. Ila mziki wa kuwalisha si wa kitoto
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom