#COVID19 Majanga: Wagonjwa 11 waongezeka ikiwa 6 ni Watanzania madereva wa malori wakitokea Tanzania na 5 ni wa Kenya

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Wizara ya Afya Uganda imesema wagonjwa wengine 11 wa corona wameongezeka na kufanya visa kufikia 74 nchini humo, kati ya wagonjwa hao wapya sita ni Watanzania (Madereva wa Malori) walioingia Uganda kupitia mpaka wa Mutukula na watano ni Wakenya nao pia ni Madereva wa Malori.

----
The number of COVID-19 cases in Uganda has jumped from 63 to 74 after health workers registered 11 cases at various border posts.

The new 11 positive cases that were registered on Thursday include; six Tanzanian truck drivers who arrived via Mutukula Border post and five Kenyan truck drivers.

According to Dr Henry Mwebesa, the director general of health services at the Ministry of Health, three Kenyan drivers arrived via Malaba Border Post while two arrived via Busia Border Post.

Dr Mwebesa said that the 11 COVID-19 positive cases were from 1,020 samples tested from truck drivers at border points of entry.

He said that none of the registered cases had signs and symptoms consistent with COVID-19.

According to Dr Mwebesa, 1,331 samples were tested on Thursday at the Uganda Virus Research Centre.
He said that 311 samples that were taken from the community and quarantine centres on Thursday tested negative.

Source: COVID-19 cases jump to 74 as 11 truck drivers test positive
 
Waganda wana hasira sana Na watanzania waendesha m truck. Kwa sababu wanasema wao wamefungiwa ila wabongo wanaleta hizo case.

Mipaka imefungwa ila boda na tz halijafungwa. Msishangae waganda wakiwaka na kwenda kulifunga boda wenyewe
 
#MillardAyoUPDATES
Mpaka wao haujafungwa??
 
Waganda wana hasira sana Na watanzania waendesha m truck. Kwa sababu wanasema wao wamefungiwa ila wabongo wanaleta hizo case.
Mipaka imefungwa ila boda na tz halijafungwa. Msishangae waganda wakiwaka na kwenda kulifunga boda wenyewe

Lockdown Africa na hizi njaa, inataka kujipanga sana. Inawezekana kabisa sio kweli wana Corona ila hawati biashara zao ziendelee kufa taratibu
 
Museveni yupo makini sana kuwalinda Raia wake, na ndiyo jukumu la kwanza muhimu kuliko yoyote kwa serijali yoyote Duniani.

Majirani wanarudisha nyuma juhudi zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika hali ya kusikitisha ni kuwa Wizara ya Afya nchini Uganda tangu watangaze raia wao walipata maambukizi walifikia 55 na tangu hapo kila visa vinavyoongezeka ni madereva wa malori kutoka Tanzania

Hii inakaaje katika image za kimataifa kwamba Tanzania tunamaambikizi makubwa sana tofauti na inavyotangazwa na Serikali ya Tanzania?

Je makadirio ya WHO yanaweza kuwa ya kweli kuwa tunakaribia 500?

Tofauti na taarifa ya leo kutoka Uganda ambapo wagonjwa waliopatikana ni Watanzania 6 na Wakenya 5,hapo awali tuseme wagonjwa 10 wa covid 19 wametokea Tanzania

Na vipi huko barabarani wapitao,mikoani,hoteli wanakopata chakula wanakolala,ili kuendelea na safari,hizo sehemu maambukizi yakoje?

Nani alaumiwe kwa haya yote,na tunawaambiaje jumuiya za kimataifa na taasisi za kifedha kuhusu kutufutia madeni na takwimu za maambukizi za serikali na zinazoripotiwa kutoka nje kwa raia wa Tanzania.

Ukumbuke na Kenya imewahi kutunyoshea vidole kuhusu hatua tulizochukua kukabiliana na maambukizi kuwa waliokutwa mwanzoni Kenya wenye maambukizi ni kutoka Tanzania

Nani atapinga kuwa kila watu 100 Watanzania watu 10 wana maambukizi?

Serikali ya Tanzania kwa nini hatupimi watu?

-----

The number of COVID-19 cases in Uganda has jumped from 63 to 74 after health workers registered 11 cases at various border posts.

The new 11 positive cases that were registered on Thursday include; six Tanzanian truck drivers who arrived via Mutukula Border post and five Kenyan truck drivers.

According to Dr Henry Mwebesa, the director general of health services at the Ministry of Health, three Kenyan drivers arrived via Malaba Border Post while two arrived via Busia Border Post.

Dr Mwebesa said that the 11 COVID-19 positive cases were from 1,020 samples tested from truck drivers at border points of entry.

He said that none of the registered cases had signs and symptoms consistent with COVID-19.

According to Dr Mwebesa, 1,331 samples were tested on Thursday at the Uganda Virus Research Centre.
He said that 311 samples that were taken from the community and quarantine centres on Thursday tested negative.

Source: COVID-19 cases jump to 74 as 11 truck drivers test positive
 
Museveni yupo makini sana kuwalinda Raia wake, na ndiyo jukumu la kwanza muhimu kuliko yoyote kwa serijali yoyote Duniani.

Majirani wanarudisha nyuma juhudi zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
To be honest, sijawahi kabisa kumkubali Museven lakini kwa jinsi alivyoshughulikia issue ya corona, jamaa anastahili kudos milioni kidogo!!

Na matunda yanaonekana kwa sababu licha Uganda kuwa na population ya karibu 50M lakini bado maambukizi yapo chini sana!
 
Back
Top Bottom