Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Ndege mpya ya Uganda Airline inayomilikiwa na Serikali ya Uganda leo imezindua rasmi safari zake za kwenda Mombasa Kenya kwa kile kilichoelezwa kuwa kutangaza na kuimarisha sekta ya utalii...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Mwanafunzi wa darasa la tatu ya Shule ya Msingi Lukolo wilayani Jinja amekufa kufuatia mapigano na mwanafunzi mwenzake. Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 12, aliripotiwa kuanguka sakafuni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais M7 wa Uganda amekodi ndege binafsi kwa ajili ya timu ya Taifa ya Uganda The cranes. Watacheza na Malawi na kurudi kujiandaa kwa mchezo unaofuata siku hiyo hiyo. Sjui timu yetu wanamkakati gani!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The Inspectorate of Vehicles has said Ugandan roads are the worst in East Africa in terms of carnage, killing at least 3,500 people per year. While opening a joint smart drivers’ training...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, Ni chuo kipi/ vipi bora kwa Uganda?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwanamuziki ambaye pia ni Mwanasiasa, Robert Kyagulanyi maarufu ‘Bobi Wine’ ameshtakiwa akidaiwa kuwa na nia ya kumkera, kumshtua au kumkejeli Rais Yoweri Museveni Shtaka hilo linahusianishwa na...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Raia wa sehemu hiyo ni watu wanaounga mkono harakati za Boby Wine kwa yanayofanywa na Museveni huko Uganda aliyepokea kipigo na kufa baadae baada ya kipigo anajulikana kwa jina la Sweet Pepsi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
It was for a good reason that Kenya lost pipeline deal to Tanzania President Uhuru Kenyatta with Uganda President Yoweri Museveni (right) at Entebbe State House in Uganda last year. Last week...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Upasuaji huo wa aina yake umefanyika kwa mafanikio makubwa katika Hospitali ya Mulago chini ya Kliniki ya Endocrinology Mtoto huyo alizaliwa akiwa na jinsi ya Kike na kulelewa kama Mtoto wa Kike...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Godfrey Wamala amekutwa na hatia ya kumuua Moses Sekibogo (Mowzey Radio) bila ya kukusudia. Hukumu hiyo imesomwa licha ya Mwanamuziki huyo kufariki katika ghasia zilizotokea sehemu ya starehe...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Askari Polisi nchini humo wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi wanaondelea na mgomo katika Chuo Kikuu cha Makerere Wanafunzi wamedai kuwa Polisi hao wametumia risasi za moto dhidi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
BUGIRI: Mtoto wa Kike wa miaka 6 afariki kwa kuteketea kwa moto wakati Baba yake akiwa anafuatilia mchezo kati ya Arsenal na Crystal Palace Mama wa Mtoto huyo, Yudaya Namugere alimuacha mwanaye...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
C&P from Bobby Wine Zulaikah Nalukenge Ssekitto Kasujja ( Pictured), a very committed #PeoplePower supporter, mobiliser and activist has been reportedly missing for three days now. When I first...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Waliweka kizuizi cha barabarani huko katika eneo la Kaliro, walitegemea kuteka gari la raia wa kawaida lakini wakakumbana na gari la Polisi Polisi walipoona kizuizi hicho walifyatua risasi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Sixteen Ugandan LGBT activists were subjected to forced anal examinations after being arrested, the country's leading gay rights organisation said Thursday. The 16 men were taken into police...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wamefungua shauri hilo katika Mahakama ya Buganda Road kutaka amri ya kuachiwa huru kwa wenzao waliokamatwa na kushikiliwa na Polisi Wanafunzi hao walikamatwa katika maandamano ya kupinga...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Polisi wanachunguza tukio la Afisa Mwanamke wa Gereza aliyeibiwa silaha aina ya AK-47 wakati akiwa katika gereza la Mpigi Afisa aliyeibiwa ametambulika Hadijah Katono ambaye imeelezwa kuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Polisi wanawasaka watuhumiwa wa mauaji hayo yaliyotokea katika Wilaya ya Lyantonde.Mauaji haya ya kusikitisha yametokea usiku wa kuamkia leo Waliouawa ni Francis Rwabagabo(60), Mkewe Kellen...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Uganda announces 'Kill the Gays' bill that will bring in the death penalty for homosexuals The legislation - known as the 'Kill the Gays' bill - was nullified five years ago on a technicality...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…