CHUO KIKUU MAKERERE: Mabomu ya machozi na risasi za moto zatumika dhidi ya Wanafunzi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Askari Polisi nchini humo wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi wanaondelea na mgomo katika Chuo Kikuu cha Makerere

Wanafunzi wamedai kuwa Polisi hao wametumia risasi za moto dhidi ya Wanafunzi waliokuwa vyumbani katika bweni la Mitchell

Wanafunzi wa chuo hicho wako kwenye mgomo wakipinga ongezeko la 15% katika malipo yao ya ada kwa ajili ya masomo
 
Back
Top Bottom