Msichana wa miaka 11 afanyiwa upasuaji ili atimize ndoto zake za kuwa Mvulana

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,399
1572434891834.png
Upasuaji huo wa aina yake umefanyika kwa mafanikio makubwa katika Hospitali ya Mulago chini ya Kliniki ya Endocrinology

Mtoto huyo alizaliwa akiwa na jinsi ya Kike na kulelewa kama Mtoto wa Kike, lakini kadiri siku zinavyokwenda sehemu ya uke wake ilianza kubadilika na kuota uume

Kwa mujibu wa uchunguzi wa wataalamu wameeleza kuwa mabadiliko hayo yamesababishwa na uwepo wa homoni nyingi za Kiume kuliko za Kike

Msichana huyo alipewa jina la Catherine lakini baada ya upasuaji huo amebadili jina na kuitwa Emma

======

The Endocrinology Clinic of Mulago Hospital has successfully operated an 11-year-old child to help her achieve her dream of living as a boy.

The child was born a girl and raised as one. But according to her parents, her organs started changing as she grew older. What was thought to be a clitoris turned into a penis, a condition which, according to medics was caused by the presence of high levels of male (testosterone) hormones in her body.

Then known as Catherine, the child was linked to care, starting a journey that will now see her live as a boy, for the rest of his life. Upon a successful Sex assignment and corrective surgery, Catherine will now be known as Emma.

Dr Theresa Piloya, a paediatric endocrinologist who runs the clinic says that 10 per cent of the cases she handles are of children battling disorders of sex development who have been raised in different sex from theirs.

She said even as there’s no clear data on the incidence because of stigma and other reasons, the treatment centre is currently seeing 39 individuals with such disorders and 28 percent of them are adolescents.

Dr Piloya said they have since 2012 been collecting data of those who report to Mulago Hospital with such disorders but have found that other than reporting at birth or when still little children, many report for treatment at adolescence or adulthood when it’s more challenging to treat.

"We see many conditions and disorders of sexual development. When we started, we found that it is one of the commonest conditions. It's next to diabetes and rickets," she said.

She, however, noted that challenges don’t stop at identifying those that require correction procedures but also finding them psychologists to help them in the transition is still a problem. For her, appropriate procedures require them to do psychosocial counselling before surgery but most of the time it’s not done.

While this is not happening, she says what is currently doable is to train obstetricians and paediatricians to identify such cases early and they are linked to care before it’s too late and very expensive.

She notes that if these disorders of sex development are identified early and corrected, one will be able to function normally but it gets challenging as one is transitioning to adulthood because fertility can be compromised.

-Daily Monitor-
 
Hili suala lipo,kuna mahali nilisoma lilinishangaza kidogo

Hao wanaitwa 'Guevedoces' na kesi ya kwanza iligundulika huko Dominican Republic na hio condition inaitwa 'Dominican Republic Snydrome' ambapo mtoto huzaliwa na jinsia ya kike kabisa lakini anapofikisha miaka kuanzia 13 jinsia zao hubadilika na kuwa za kiume pamoja na mabadiliko mengine ya kimwili.

Kuna kijiji katika visiwa hivyo kinaitwa Salinas ndio maarufu kwani ndipo ambapo watoto wa aina hii huzaliwa na huko kwao tayari imeshazoeleka kwani anapofikisha miaka 13 hubadilishwa jina na huanza kuvaa mavazi ya kiume na akiwa mwanaume kamili huweza kuoa na kuendelea na miasha ya kiume kama kawaida japo baadhi suala la uzazi huwa gumu.

Nadhani ni vizuri Madaktari wakafanya tafiti hasa katika nchi zetu za kiafrika inawezekana kuna mahali watoto wa namna hii huzaliwa ila wakawa wanapata tabu kama kutengwa,kuuawa nk kama mnavyojua tamaduni zetu.

zaidi soma;

In This Remote Village, Some Boys Don't Grow a Penis Until They're 12
Dominican-Republic-Guevedoces-Disorder-Shocking-Story-600x394.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom