Wanafunzi wa Chuo Kikuu Makerere wafungua kesi kupinga Polisi kuwakamata na kuwashikilia wenzao

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
latest05pix.jpg

Wamefungua shauri hilo katika Mahakama ya Buganda Road kutaka amri ya kuachiwa huru kwa wenzao waliokamatwa na kushikiliwa na Polisi

Wanafunzi hao walikamatwa katika maandamano ya kupinga ongezeko la 15 katika ada ya masomo inayokatwa na Utawala wa Chuo hicho

Makamu wa Rais wa Umoja wa Wanafunzi wa Chuo hicho, Judith Naluwago amesema kuwa Polisi wamekiuka sheria kwa kuwashikilia wenzao kwa zaidi ya saa 48

Wakati huo huo, Wanafunzi 11 wamelazwa hospitali baada ya kushambuliwa na Askari wa Polisi wakati wakiwa kwenye maandamano

======

Makerere University students have petitioned Buganda Road Magistrates Court seeking the unconditional release of their colleagues who are currently in Police custody at Wandegeya station.

There are about 46 students who have been arrested since the strike at the University started, on Tuesday. Students are opposing the cumulative 15% tuition increment by the University administration.

The students led by the Vice Guild President Judith Naluwago state that the students are being held illegally by police beyond the mandatory 48 hours within which they ought to be brought before a competent court of law.

“The police have not produced the detained students before the court yet the mandatory 48 hours have passed. They have even suppressed our efforts to secure a bond for our colleagues. That’s why we have decided to petition the court through our human rights lawyer Eron Kiiza to have them released as soon as possible and unconditionally,” Ms. Naluwago said.

In the application, the Attorney General, OC Wandegeya Police Station Samuel Obwang and DPC Godwin Ochaki have been named as respondents.

Meanwhile, at least 11 students have been hospitalized following the army and police raid on Thursday night. Students accuse the army and police of raiding their halls of residences and beating whoever they found in addition to destroying their property.

-Daily Monitor-
 
Back
Top Bottom