Rais Museven ameikodia ndege binafsi timu ya Taifa

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,800
Rais M7 wa Uganda amekodi ndege binafsi kwa ajili ya timu ya Taifa ya Uganda The cranes. Watacheza na Malawi na kurudi kujiandaa kwa mchezo unaofuata siku hiyo hiyo. Sjui timu yetu wanamkakati gani!!
 
Kwani tuna anzia wapi niulize kwanza kama ni home hakuna haja ya kukodi ndege.
 
Sisi mandege yapo kibaao Magufuli kanunua haina haja ya kukodi bali ni kuchagua tu ya kutumia kama ni airbus au dreamliner
 
Back
Top Bottom