Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Mlinzi wa Obote arudi Uganda baada ya kuishi Tanzania kimyakimya kwa zaidi ya miaka 50. Kijiji cha Agora wilayani Soroti nchini Uganda kililipuka kwa furaha baada ya wake wawili kuungana tena na...
8 Reactions
25 Replies
5K Views
Ili kufikia lengo la Dira ya Maendeleo ya 2040, Uganda, kutahitajika nchi iwe uwezo wa umeme wa 41, 738 MW na kwa matumizi ya watu 3,668 kWh. Hata hivyo, uzalishaji uliopo kwa sasa (hydro...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati chupa za dawa zikipakiwa katika ndege zisizokuwa na rubani kwa ajili ya kusafirishwa, kundi la watu limekusanyika kwa mbali kutazama ndege hiyo yenye upana wa mita 1.5 katika eneo la Kituo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rais wa Uganda na Amiri Jeshi Mkuu wa UPDF Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni amefanya uteuzi kwa kuwapandisha vyeo Majerali na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la nchi hiyo.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Government has confirmed that Uganda has registered the Indian Covid-19 variant B.1.617. Col Dr Henry Kyobe, the Covid-19 incident commander, yesterday said the country has now registered five...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wizara ya afya nchini Uganda imesitisha matumizi ya vitamin C katika kutibu virusi vya Covid-19 kutokana na matumizi mabaya ya wagonjwa. Vitamni C ndiyo moja ya dawa zilizokuwa zinatumiwa kWa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi hili bara lina laana gani? Mimi nilidhani Uganda kupata mafuta ndo neema kwa waganda kumbe yanasafirishwa ghafi hadi Ulaya ambapo huko yanaenda kusafishwa kuproccesiwa halaf wanayapaki...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Umoja wa Madaktari nchini Uganda (UMA) wamepinga suala la kulazimisha watumishi wa Afya na raia kupatiwa chanjo ya COVID19 kilazima. Wametahadharisha kuwa yatakapotokea matokeo yoyote serikali...
0 Reactions
4 Replies
44K Views
Marekani imesema inawawekea vikwazo vya viza watu wanaoaminika kuhusika au kushirikia katika kudhoofisha mchakato wa demokrasia nchini Uganda, ikiwemo wakati wa uchaguzi wa Januari na kipindi cha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Serikali ya Marekani imetangaza vikwazo vya usafiri dhidi ya maafisa wakuu wa serikali ya Uganda ambao wanaaminika kuhusika na njama ya kuhujumu mfumo wa demokrasia nchini Uganda, wakati wa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
The African Development Bank (www.AfDB.org) and the Government of Uganda on Tuesday signed a $229.5 million financing agreement for the first phase of the Kampala-Jinja Expressway Project, which...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Our. Ugandan Neighbor's Prepare Yourself for worst. Your Oil Can Turn Out To Be The Biggest Curse Instead Of Blessings. Beware Of The French and their multinational company by the name TOTAL...
0 Reactions
2 Replies
855 Views
11 April 2021 Entebbe, Uganda H.E Suluhu Samia Hassan, the President of the United Republic of Tanzania made her maiden official visit to Uganda. Suluhu arrived in Uganda this morning for a...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa mara nyingine tena Rais Yoweri Museveni ameishutumu kampuni kubwa ya teknolojia ya mawasiliano Facebook kwa kuwa na upendeleo dhidi ya chama tawala cha Uganda na wafuasi wake. Matandao huo wa...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Wabunge wa Uganda wameeleza kupinga zuio dhidi ya uuzaji nje wa mahindi lililowekwa na nchi jirani ya Kenya kwa sababu za “kiusalama”. Spika wa bunge la Uganda Rebecca Kadaga amemwagiza Waziri...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais wa Uganda' Yoweri Museveni amesema bado anaangalia ni chanjo ipi atakayochomwa, siku chache baada serikali yake kuanza kutoa chanjo ya Oxford-AstraZeneca kwa wananchi. Tayari marais wengine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu mabibi na mabwana wa hapa jukwaa la Uganda, Napenda kujua gharama ya kununua TVS Bajaj kwa Uganda ni kiasi gani ?
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Kijana wa miaka 32 Anatoli_Kiiza anaiomba kwa mara nyengine serikali yao ya Uganda kujaribu kombora lake alilotengeneza kienyeji. Taarifa inasema Kiiza alikamatwa karibu mara saba kwa ajili ya...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Uganda imeahirisha uzinduzi wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ili kuomboleza kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli, ambaye alitoa mchango...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amempongeza Samia Suluhu Hassan kwa kuwa Rais mpya wa Jamuhuru ya Muungano wa Tanzania baada ya kifo cha aliyekuwa rais wa nchi hiyo Dkt John Pombe Magufuli...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…