The Lounge

Chit-Chat | General Chat | >> A place to chat about anything as long as it abides by the Forum Rules.
Tarehe 1 Julai inawakilisha lango kuu la kiroho la katikati ya mwaka (Mid-Year Portal) linalogawa kalenda katika pande mbili sawa. Katika mifumo ya kiroho, tarehe hii si siku ya kawaida, bali ni...
5 Reactions
6 Replies
268 Views
Mnamo tarehe 9 Agosti 1945, ulimwengu ulishuhudia maafa makubwa baada ya mji wa Nagasaki nchini Japan kushambuliwa kwa bomu la pili la atomiki na jeshi la Marekani. Shambulio hili lilileta maafa...
9 Reactions
21 Replies
402 Views
Natamani nyumba ya ndoto zangu iwe ni mchanganyiko kamili wa teknolojia ya kisasa na utulivu wa mazingira ya asili. Ninaamini kuwa mazingira bora na safi kama haya yanachangia kwa kiasi kikubwa...
21 Reactions
95 Replies
1K Views
Kwa umri wetu tulipofika na mzee mwenzangu ili kupewa kamchezo ka kitandani zaidi ya mara moja kwa siku inabidi utumie jitihada kidogo. Asubuhi hii nimepigwa mechi bafuni, nikashikishwa sinki...
18 Reactions
102 Replies
2K Views
Ndugu wanajf habari za siku nyingi nilipotea kidogo sasa nmerudi mapumzikoni kutoka Bamako ñchini Mali, bahati nzuri pia nmebahatika kumtembelea bibi yangu aliyeko Patamela Songwe kupitia...
7 Reactions
8 Replies
225 Views
Michèle Lamy ni mjasiriamali, msanii, na nembo ya kipekee ya utamaduni na mitindo (fashion icon) kutoka nchini Ufaransa, anayejulikana zaidi kama mke na mshirika mkuu wa kibiashara wa mbunifu...
6 Reactions
32 Replies
435 Views
Habari za usiku utulivu wanajukwaa, Leo bhana katika kupitia pita mtandaoni Huku na kule nikakutana na Link ya dalali muuza utamu, nikaingia ili nisome some kidogo kusudi muda uende bhana...
0 Reactions
9 Replies
212 Views
Leo bhana mjini Dar es Salaam kuna pambano la ndondi 💪 (vitasa) Mwakinyo anazichapa leo, kitawaka Sijui itakuwa TKO au sare au atapigwa Basi bhana mapambano yapo mengi si unajua mwanetu🤪...
12 Reactions
85 Replies
966 Views
Nimewamiss, vipi nini kimenipita humu jukwaani kwa wiki zilizopita? na kama kawaida, jichagulie jambo hapo chini tutete kidogo! Nilipotea nalea mjukuu, mpwa wangu amenifanya niitwe bibi, mje...
13 Reactions
477 Replies
4K Views
Umewahi kuomba jambo fulani ukanyimwa, ilhali unajua kabisa yule mtu alikuwa nalo ila akaamua tu kutokukupa? (wengine husema akakaza ,akadinda) Kuomba aibu no uno Kunyimwa aibu no two...
17 Reactions
394 Replies
2K Views
Siku kama ya leo, mwezi wa sita, mwaka fulani… ndio tulibarikiwa Mganga wa JF😎 kabla ya wokovu aliitwa Mganga wa kilingeni msata hukooo Ila now kama ni Mganga basi ni wa level nyingine… not...
26 Reactions
147 Replies
1K Views
I'll go first; We are alive, so many wish they were in our position (I can’t stop thinking of this as of lately 😔). Everybody knows at least one thing you don't. Reminder to self...
17 Reactions
221 Replies
2K Views
Hello wana JF, Basi bhana, kazi tunaifanya mijadala ya kijamii tunashiriki kikamilifu Pamoja na hayo, tusiache kulombana kwa faida lukuki zipatikanazo kwa tendo hili tamuu na adhimu😄 Ukiihisi...
15 Reactions
164 Replies
1K Views
Jamani mapenzi 🙌🙌🙌 Kila mtu ana ile siku yake ya kukumbukwa a fantastic day ✨ Siku ambayo akili ilitulia kwa asilimia 💯 Mwili ukapokea hisia tofauti kabisa, ukahisi msisimko wa ajabu ❤️ Ukahisi...
16 Reactions
211 Replies
2K Views
Guys leo ni weekend, tutaenda kushuhudia baadaye derby ya Kariakoo na kuona magoli ya moto 🔥 Kabla ya hiyo derby sasa, hebu tuzungumzie magoli ya kwa bed 😅 Kuna goli likifungwa unasahau kabisa...
11 Reactions
105 Replies
1K Views
No matter how deep you go, you’ll never reach the end just enjoy what you can.
3 Reactions
3 Replies
203 Views
Wiki hii imekua ngumu, uko sawa? mambo yanayoendelea Tanzania yanakufanya ujisikiaje? Unafanya vitu gani kuhakikisha afya yako ya akili haitetereki? Tupe suggestion ya movie mpya au series...
13 Reactions
423 Replies
4K Views
Iwe ni kwa ajili ya kujilia vizuri na kufurahiana kimapenzi au kubadili ladha ya tendo, una vitu gani chumbani kwako vinavyonogesha ulaji? Acha nianze: 1. Kibenchi cha pembeni ya kitanda...
13 Reactions
237 Replies
3K Views
Hii ni mada sensitive kidogo, ila naomba kupata mitazamo ya watu wengine kwenye hili jambo. Nina family members wangu wawili wa kiume, wamekataa kufanyiwa vipimo hivi vya afya, mmoja kwenye...
19 Reactions
335 Replies
4K Views
Katika safari ya maisha, kuna vitu tunaita "Gatekeepers" au walinzi wa malango. Hawa ni pamoja na Cheti cha Kuzaliwa, NIDA, na Vyeti vya Elimu. Wengi wetu tukikosa hicho cha mwisho (Cheti cha...
7 Reactions
25 Replies
416 Views
Back
Top Bottom