Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wana jukwaa. Nina Halotel Mobile Wifi Mfi_0428F2 ambayo nimeitumia vyema kwa kipindi cha miaka 2, ghafla tu imeanza kuleta shida kama ifuatavyo. Ukiweka line na kuwasha, mara inakwambia...
0 Reactions
2 Replies
727 Views
Nimeandika uzi huu kuwasaidia watu ambao wanataka kucheza games kwenye pc na wanashindwa au hawana pc na wanatamani kuwa na pc waweze kucheza games hizi. Mahala pa kununulia pc za kuchezea games...
19 Reactions
182 Replies
30K Views
Nataka kununua komputa desktop kwa ajili ya kurusha movies na nyimbo ipi model yenye kasi? Bajeti yangu ni laki 3 na 30 wakuu asanteni.
3 Reactions
14 Replies
1K Views
๐—›๐—ถ๐˜€๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฃ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ ๐—ญ๐—ฎ ๐—ก๐—ผ๐˜๐—ถ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ Miaka imekwenda toka enzi hizo watu wanatumia shilingi moja, mbili, senti moja nk maisha ya Watanzania yalibadilika baada ya utambulisho wa Noti...
2 Reactions
2 Replies
791 Views
Habari zenu wakuu, Nimekuja kwenu wadau naomba msaada wenu kwa wamiliki wa App huko play store nataka nijue App yenye download watu 10k na watumiaji active 10% malipo yake huwa kiasi gani kwa...
2 Reactions
8 Replies
994 Views
Wadau, Ni brand gani ya headphone au earphone zina midundo yenye ubora wa hali ya juu kwa kusikilizia muziki au audio ambayo haichoshi masikio hata ukitumia kwa muda mrefu,yenye uwezo wa kuondoa...
7 Reactions
263 Replies
22K Views
Hii video hapa inaonyesha namna AI inavyosambaza dawa hospitalini. Taaluma ya unesi itakumbwa na dhoruba. Manesi watapungua sana idadi, maana kwa kweli zaidi ya 75% manesi hutumia muda mwingi...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Habari zenu ndugu na mnaendeleaje na hali huko mliko? Niende moja kwa moja kwenye mada naomba msaada WA kuweza kuficha app kwenye simu YA android huku inafanya kazi. Na jee nawezaje kuifichuwa...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
๐—”๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ง๐—ถ๐—ธ๐—ง๐—ผ๐—ธ ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ถ๐˜๐˜„๐—ฎ ๐—ซ๐—ถ๐—ฎ๐—ผ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ด๐˜€๐—ต๐˜‚ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐˜‚๐—บ๐—ถ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ถ Wachina wanazidi kuwahumiza vichwa marekani ๐Ÿฅฑ Baada ya TikTok kuwa kwenye mpango wa kuondoshwa, watumiaji wa marekani...
3 Reactions
7 Replies
965 Views
Wakuu mko salama Iwe application ya simu, desktop application, web systems zote hizi nazitengeza... Cost za server na bundle ni juu yako application ikikamilika ndo tutagawana faida
2 Reactions
8 Replies
598 Views
Salam wakuu, Mwaka Jana rasmi niliunganishwa na Tanesco umeme nikaanza kupata huduma. Waliniweka kwenye Ile tariff ambayo ukiweka umeme wa elfu kumi unapata units 28. Sasa ndugu zangu changamoto...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Ugeni wa mambo bila maarifa umeliza wengi naombeni mnisaidie kupunguza hasara, Nawezaje kukagua graphivs card ya NVIDIA ni feki au original
5 Reactions
12 Replies
602 Views
Wakuu kama kichwa kinavojieleza hapo, naomba mwenye kufahamu niwapi nitapata cheapest domain. Pia,ninahitaji kujua mfumo mzima kama hosting inakuaje na gharama zake.
2 Reactions
9 Replies
904 Views
Wanangu wa JF niwaambie tu hatimae nimenyaka VPN speed ya 4G movie ya MB 800 dakika 10 jina VPN kapuni msije kuchoma..
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Hivi ndugu zangu hizi simu za mjapani naona zinakuwa trend sana huku huu mwaka mwishon hapa Niambien zina ubora huo zinaopigiwa promo Camera Waterproof Battery inatunza moto Storage yake. Ya...
5 Reactions
98 Replies
17K Views
Kwa tuliofanikiwa kuwekeza katika platform hii mpya gwec tukutane hapa kwa ajili ya update mbalimbali
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Wadau wa Jamiiforums Habari za wakati huu. Na leta kero yangu kwenu kuhusu WhatsApp yangu kusumbua mara kwa mara. Usumbufu unatokana kuwa log out kwa madai ya account yangu kuhusishwa na spam...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wana Jf. Kuna issue imenitokea week iliyopita nimeenda kariakoo kununua Smart tv TCL inch 32 Tshs 380000; imejaribiwa ikawaka vizuri nikafanya malipo nikaondoka. Kufika...
3 Reactions
10 Replies
785 Views
๐—›๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐˜๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—ฟ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ Wimbi la watumiaji wa mtandao wanawake kwa wanaume wanatafuta wapenzi inazidi kushika Kasi nchini Tanzania ๐Ÿค” Imekuwaje???๐Ÿ‘‹ Kuna tabia kubwa inazidi...
9 Reactions
110 Replies
8K Views
naomba mwenye key za kuresset ink pad za Epson L3250
1 Reactions
3 Replies
473 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ