Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Imeandikwa na Hash Power kwa Msaada wa Mitandao. Mei 30, 2020 ilikuwa ni siku ya kukumbukwa katika historia ya sayansi ya anga, astronomy duniani kote na hiyo ilikuwa ni baada ya kufanikiwa kwa...
31 Reactions
74 Replies
15K Views
๐—ž๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜ƒ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฒ๐—ท๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ผ Nazani kwenye simu yako kwa siku unaweza kupokea ujumbe mbalimbali za matangazo haswa matangazo ya kubashiri au kubahatisha...
0 Reactions
3 Replies
394 Views
Habari wakuu mwenye MOD au anaeweza kuiMod hii apk kuja huku tuchonge dili๐Ÿ˜ฏ goated daily sure tips
1 Reactions
1 Replies
375 Views
Muhimu: usiweke porn Ukitaka ku enjoy zaidi lipia, vya bure vingi vina vikwazo, vimechuja, havina quality, n.k. Netflix - 10,000, hii ni bei ya vishoka, bei halisi ni 20K. A sports HD - 2,000...
6 Reactions
51 Replies
3K Views
Katika thread hii sitazungumzia ni Nini maana ya Bitcoin mana naamini mada hizo zipo, ila ntaenda Moja kwa Moja kuzungumzia halving. Satoshi Nakamoto kwenye code za Bitcoin Blockchain aliona ni...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama unapitia thread hii naamini unaelewa kuhusu cryptocurrency kwahiyo sitaelezea kuhusu introduction to Cryptocurrency kwasabu naamini hizo mada zipo humubau waweza kuzikuta Google. Katika...
5 Reactions
4 Replies
992 Views
Habari Wakuu,, Kutokana na changamoto ya kukatikakatika umeme huku ninakoishi, Sasa nimeamua kununua solar(Umeme wa Jua). Hivyo basi, kutokana na shughuli zangu huwa narudi nyakati za usiku home...
2 Reactions
12 Replies
926 Views
Wataalam, huu weusi kwenye kifaa hiki cha fridge ni dalili gani na inasababishwa na nini? Je, kuna madhara? Mwanzo nilipolinunua huu weusi haukuwepo kabisa.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nimeona nianzishe uzi huu ili tuweze kushirikishana machache kwa wale waliofanikiwa ku-root simu zao. Kama ilivyo jadi kwa wanaJF kuelimishana na kusaidiana pale inapobidi...
7 Reactions
264 Replies
35K Views
Marekani iliwafungia China katika kila kona ili kuibana na kuzuia kwa hofu ya kupitwa โ€ฆ kiuchumi, siasa hata Teknolojia lakini hadi sasa marekani haiamini kilicho tokea China Imegeuza meza โ€ฆ...
1 Reactions
9 Replies
903 Views
Nataka nianze na serious za Kisouth Africa
2 Reactions
11 Replies
730 Views
๐—ž๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ฐ๐—ต๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐˜‚๐—ป๐˜‚๐—ฎ ๐—ง๐—ฒ๐—ฐ๐—ป๐—ผ ๐—–๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐—ป ๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐˜€ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ผ Moja kati ya simu nzuri kutumia mid range smartphone ni Tecno camon 30s Pro hii simu kama wewe ni mfanyabiashara au content creator unaweza...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu dogo anapenda sana mambo ya cyber security na anataka chuo cha UNIQUE ACADEMY mim nilitaka aende UDOM yey kasema hyo UNIQUE ndo inamfaa wajuzi wa mambo ya Tec ushauri wenu hapa. Vipi...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari ๐Ÿ‘‹ Moja kwa moja kweny mada. Aisee, Leo nimeyakoroga, leo majira ya mchana kabla ya kuweka status kuna mtu nilim-hide kweny option settings za "status privacy", then nikapost, alaf...
10 Reactions
68 Replies
2K Views
Miaka ya hivi karibuni mitandao ya simu imekuwa ikitulazimisha kusoma sms, na wanafanya hivyo ili tu tusome matangazo yao mengine yasiyokuwa na Tija, bila kujua kuwa wanakwamisha watanzania Kwa...
0 Reactions
0 Replies
384 Views
๐— ๐—”๐—ป๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐˜€๐—ต๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ธ๐˜‚ ๐—ถ๐—ป๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฒ๐˜๐—ถ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ Kuna story nakutana nazo mitandaoni kuna baadhi ya watu ambao wanajiita Manabii wakisema wameoteshwa Kuwa intaneti kuna siku...
2 Reactions
6 Replies
507 Views
Salaam wana tech. Kama heading inavyosomeka hapo juu, huu uzi utajikita kwenye 3D printing, designing & etc. Lengo la kuanzisha huu uzi ni kutokana na umuhimu wa ukuaji wa teknolojia ya 3D...
12 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna habari ambazo nilizipata kutoka kwa mmoja wa "reliable sources" wangu kwamba simu zote zinazoingia Tanzania hasa zile za kutoka Ulaya Magharibi huwa zinasikilizwa na kuchujwa na kisha...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mimi ni mtu ambaye huwa sifungu link ninazotumiwa kama sijui imetoka kwa nani kwa sababu daily napokea emails kibao kutoka kwa mascammer. Pia akaunti yangu instagram haikuwa linked na email bali...
1 Reactions
12 Replies
654 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ