Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari Wakuu,, Kutokana na changamoto ya kukatikakatika umeme huku ninakoishi, Sasa nimeamua kununua solar(Umeme wa Jua). Hivyo basi, kutokana na shughuli zangu huwa narudi nyakati za usiku home...
2 Reactions
12 Replies
926 Views
Wataalam, huu weusi kwenye kifaa hiki cha fridge ni dalili gani na inasababishwa na nini? Je, kuna madhara? Mwanzo nilipolinunua huu weusi haukuwepo kabisa.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nimeona nianzishe uzi huu ili tuweze kushirikishana machache kwa wale waliofanikiwa ku-root simu zao. Kama ilivyo jadi kwa wanaJF kuelimishana na kusaidiana pale inapobidi...
7 Reactions
264 Replies
35K Views
Marekani iliwafungia China katika kila kona ili kuibana na kuzuia kwa hofu ya kupitwa … kiuchumi, siasa hata Teknolojia lakini hadi sasa marekani haiamini kilicho tokea China Imegeuza meza …...
1 Reactions
9 Replies
903 Views
Nataka nianze na serious za Kisouth Africa
2 Reactions
11 Replies
730 Views
𝗞𝘄𝗮𝗻𝗶𝗻𝗶 𝘂𝗺𝗲𝗰𝗵𝗲𝗹𝗲𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗻𝘂𝗻𝘂𝗮 𝗧𝗲𝗰𝗻𝗼 𝗖𝗮𝗺𝗼𝗻 𝟯𝟬𝘀 𝗣𝗿𝗼 Moja kati ya simu nzuri kutumia mid range smartphone ni Tecno camon 30s Pro hii simu kama wewe ni mfanyabiashara au content creator unaweza...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu dogo anapenda sana mambo ya cyber security na anataka chuo cha UNIQUE ACADEMY mim nilitaka aende UDOM yey kasema hyo UNIQUE ndo inamfaa wajuzi wa mambo ya Tec ushauri wenu hapa. Vipi...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari 👋 Moja kwa moja kweny mada. Aisee, Leo nimeyakoroga, leo majira ya mchana kabla ya kuweka status kuna mtu nilim-hide kweny option settings za "status privacy", then nikapost, alaf...
10 Reactions
68 Replies
2K Views
Miaka ya hivi karibuni mitandao ya simu imekuwa ikitulazimisha kusoma sms, na wanafanya hivyo ili tu tusome matangazo yao mengine yasiyokuwa na Tija, bila kujua kuwa wanakwamisha watanzania Kwa...
0 Reactions
0 Replies
384 Views
𝗠𝗔𝗻𝗮𝗯𝗶𝗶 𝘄𝗮𝗻𝗮𝘀𝗲𝗺𝗮 𝘄𝗮𝗺𝗼𝗲𝘁𝗲𝘀𝗵𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗻𝗮 𝘀𝗶𝗸𝘂 𝗶𝗻𝘁𝗮𝗻𝗲𝘁𝗶 𝗶𝘁𝗮𝗸𝗮𝘁𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱 Kuna story nakutana nazo mitandaoni kuna baadhi ya watu ambao wanajiita Manabii wakisema wameoteshwa Kuwa intaneti kuna siku...
2 Reactions
6 Replies
507 Views
Salaam wana tech. Kama heading inavyosomeka hapo juu, huu uzi utajikita kwenye 3D printing, designing & etc. Lengo la kuanzisha huu uzi ni kutokana na umuhimu wa ukuaji wa teknolojia ya 3D...
12 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna habari ambazo nilizipata kutoka kwa mmoja wa "reliable sources" wangu kwamba simu zote zinazoingia Tanzania hasa zile za kutoka Ulaya Magharibi huwa zinasikilizwa na kuchujwa na kisha...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mimi ni mtu ambaye huwa sifungu link ninazotumiwa kama sijui imetoka kwa nani kwa sababu daily napokea emails kibao kutoka kwa mascammer. Pia akaunti yangu instagram haikuwa linked na email bali...
1 Reactions
12 Replies
654 Views
Aslaam, Wakuu hivi hakuna app, au siwezi kupata application ambayo itanifanya kufuatilia biashara yangu ya MIAMALA? Nawaza kufanya biashara ya uwakala wa pesa kupitia laini za simu na bank...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Elimu ya anga naona teknolojia za AI na mahesabu kuchanganuliwa kwa haraka kumekuwa na ugunduzi mkubwa sana kuhusu upatikanaji wa sayari mpya na nyota mpya ambazo ni kama ndoto kwa habari...
1 Reactions
0 Replies
370 Views
Leo nimeenda dukani kununua Galaxy A35 yenye storage ya 256 GB na kwa bahati mbaya sikuipata. Katika kuangaza macho nikaiona iphone 12 pro used ina battery health ya 86%. Nikavutiwa kuikagua na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Je, naweza funga LnB ya dstv kwenye kisimbuzi Cha Azam ama LnB ya Azam kwenye kisimbuzi Cha dstv na ikafanya kazi?
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Badilisha Biashara Yako kwa Suluhisho za Kisasa za Kidigitali! |🚀Transform Your Business with Cutting-Edge Digital Solutions! 🚀 Biashara yako inapoteza pesa kila siku bila teknolojia sahihi! Kama...
0 Reactions
1 Replies
418 Views
Wakuu husikeni na kichwa hapo juu. Naomba muongozo wenu.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii AI ikiulizwa masuala ya siasa za China zenye utata inapatwa kigugumuzi cha ghafla.
15 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom