#TeamPixel
Google wamezindua Pixel 8a, ambayo ni cheap version ya Google Pixel 8, ikiwa na Tensor G3 chipset.
Kimuonekano inafanana na Pixel 8 na 8 Pro. Ikiwa na kioo cha OLED cha 6.1 inch FHD...
Habari wana JF ..
Nimekutana na hii habari mwananchi nikaona ni vizuri kushare
Rainer Mwashu, mtaalamu wa utengenezaji wa mifumo ya kompyuta, ambaye kwa sasa ni muajiriwa wa Mamlaka ya...
Waungwana nawasalimu,
Nina TV yangu ya Smart ya Inchi 50 ambayo imechora mistari mbalimbali ya mlalo (horizontal lines) inayopelekea picha na maandishi kutoonekana vyema.
Naomba msaada wa kujua...
Nmeletewa samsung a21 simple haichaji mime chunguza nikagundua charging ic ndio shida kuipata ikawa ngumu ikabidi niunge battry direct lakini changamoto ni kuwa batty inachajiwa ila simu...
Msaada wakuu, nawezaje kuandika maandishi mengi na kuyahifadhi kwenye simu yangu (nje ya mtandao) ili baadae nikitaka kuyahamishia mahali kama hapa jf, facebook na sehemu nyingine yoyote.
Kwa...
Imeandikwa na Hash Power kwa Msaada wa Mitandao.
Mei 30, 2020 ilikuwa ni siku ya kukumbukwa katika historia ya sayansi ya anga, astronomy duniani kote na hiyo ilikuwa ni baada ya kufanikiwa kwa...
𝗞𝘂𝗻𝗮 𝗯𝗮𝗮𝗱𝗵𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝗸𝗮𝗺𝗽𝘂𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗻𝗮𝘃𝘂𝗷𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗦𝗶𝗿𝗶 𝘇𝗮 𝘄𝗮𝘁𝗲𝗷𝗮 𝘄𝗮𝗼
Nazani kwenye simu yako kwa siku unaweza kupokea ujumbe mbalimbali za matangazo haswa matangazo ya kubashiri au kubahatisha...
Muhimu: usiweke porn
Ukitaka ku enjoy zaidi lipia, vya bure vingi vina vikwazo, vimechuja, havina quality, n.k.
Netflix - 10,000, hii ni bei ya vishoka, bei halisi ni 20K.
A sports HD - 2,000...
Katika thread hii sitazungumzia ni Nini maana ya Bitcoin mana naamini mada hizo zipo, ila ntaenda Moja kwa Moja kuzungumzia halving.
Satoshi Nakamoto kwenye code za Bitcoin Blockchain aliona ni...
Kama unapitia thread hii naamini unaelewa kuhusu cryptocurrency kwahiyo sitaelezea kuhusu introduction to Cryptocurrency kwasabu naamini hizo mada zipo humubau waweza kuzikuta Google.
Katika...
Habari Wakuu,,
Kutokana na changamoto ya kukatikakatika umeme huku ninakoishi, Sasa nimeamua kununua solar(Umeme wa Jua).
Hivyo basi, kutokana na shughuli zangu huwa narudi nyakati za usiku home...
Wataalam, huu weusi kwenye kifaa hiki cha fridge ni dalili gani na inasababishwa na nini? Je, kuna madhara? Mwanzo nilipolinunua huu weusi haukuwepo kabisa.
Habari wakuu.
Nimeona nianzishe uzi huu ili tuweze kushirikishana machache kwa wale waliofanikiwa ku-root simu zao.
Kama ilivyo jadi kwa wanaJF kuelimishana na kusaidiana pale inapobidi...
Marekani iliwafungia China katika kila kona ili kuibana na kuzuia kwa hofu ya kupitwa … kiuchumi, siasa hata Teknolojia lakini hadi sasa marekani haiamini kilicho tokea China Imegeuza meza …...
𝗞𝘄𝗮𝗻𝗶𝗻𝗶 𝘂𝗺𝗲𝗰𝗵𝗲𝗹𝗲𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗻𝘂𝗻𝘂𝗮 𝗧𝗲𝗰𝗻𝗼 𝗖𝗮𝗺𝗼𝗻 𝟯𝟬𝘀 𝗣𝗿𝗼
Moja kati ya simu nzuri kutumia mid range smartphone ni Tecno camon 30s Pro hii simu kama wewe ni mfanyabiashara au content creator unaweza...
Habari wakuu dogo anapenda sana mambo ya cyber security na anataka chuo cha UNIQUE ACADEMY mim nilitaka aende UDOM yey kasema hyo UNIQUE ndo inamfaa wajuzi wa mambo ya Tec ushauri wenu hapa.
Vipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.