Maana naona fursa nyingi ni janja janja wanakwambia utavuna free but at the end huoni matunda yake mpk nakoswa imani kwa free money without kutoka jasho ,juzi nimeona uzi wa ndugu TECH eti...
Tunafahamu kuwa Dubai ni moja ya nchi tajiri sana duniani, ambayo imepiga hatua kubwa sana kwa upande wa uchumi na teknolojia ya hali ya juu. Ni moja kati ya nchi inayokuwa kwa kasi sana...
Wakuu habari zenu.
Naomba mnisaidie maana simu yangu ina tatizo la kutoonesha applications kwenye home screen hali inayonilazimu kuzunguka sana settings ili kulaunch app ninayo hitaji
hivyo...
Salaam wanataalum humu
Kama mada inavyojieleza naomba mnipe ufumbuzi wa tatizo la hii Simu yangu
Natumia Viwa A4 hivi majuzi limeanza tatizo kwanza betri ikiisha kabisa haliwezi kuchajika kwa...
Jinsi ya kuweka subtitle kwenye movie,kuna movie nilikuwa na watch through desktop nika copy iliniangalie kwenye laptop. Sasa huku subtitle hazitokei and movie sio ya kingereza but subtitle ndo za...
Habari!
Kuna group ambalo nahitaji kuwa totaly pasive, ikibidi nisilione kabisa lakini nisijitoe. Ikiwezekana meseji zake nisiwe nazisikia na wala lisiwe linakuja huku juu meseji mpya zikiingia...
Post in thread 'Fahamu haya kuhusu Dubai kwa upande wa Teknolojia' by nelly poul has been reported by Tanzania Tech. Reason given:
Makala kwenye uzi huu imechukuliwa kwenye
tovuti ya Tanzania...
Nina basic ya network kwa kiasi chake na network installation si tatizo kwangu, tatizo Uja hapo kwenye configuration so please kama kuna mtu ana mahali nitakapo weza hayo mafunzo haswa ya ki...
wadau nina samsung yangu ambayo imekuja na kimtandao cha huko mbele kinaitwa Metropcs sasa hii simu inaspot data ya wcdma/LTE but inafanya kazi kwenye gsm tu..na nikiswitch data to lte or wcdma...
Wakuu nina simu ya CAT B15 imecrush haifungui app yeyote au operation yeyote ile any thing you open ina kuja pop up "unfortunately .....has stopped " hapo kwenye ...... itataja app au syste...
Amani kweni wanajamii forums.Naomba nisaidie please.Kila nikitaka kudownload game katika laptop inaniandikia (The program can't start because MSVCP100.DLL is missing from your computer.Try...