Nifundisheni jinsi ya kuweka password ya finger print tecno W5LTE

Mzee hiyo simu hadi uizoee itakuwa umefungua threads kama 200. Maana kuna post umefungua full kuipa ujiko... hapa naona unatafuta maujanja ya fp scanner.
Well nenda setting>>lock secreen and security>> screen lock type. Chagua hiyo unayoitaka.
Kila la heri
 
Asante sana
 
Back
Top Bottom