Ma programme karibuni tusaidiane juu ya AI(Artificial Intelligence)

Hii mada ni deep zaidi ya unavyofikiria, kama upo interested mara mia ugoogle tu au kama unaweza programming vizuri ingia coursera(bure), udemy au udacity(za kulipia) chukua course ya AI, soma yote upate mwangaza. Ujue tu programming na most importantly Algebra na basic statistics.

Kua open minded tu, computer haziwezi kufikiria zenyewe pamoja na neno AI, ukigundua learning algorithms zinazotumika utagundua kua ni statistics tu, mara nyingi hua wanaexaggerate kwenye media kuhusu statenof AI.
 
Programming language ipi napaswa kuijua
 
Programming language ipi napaswa kuijua

Swala sio programming language, swala ni concept. Unaweza tumia language yoyote ile kuimplement AI algorithms, ila language ambayo iko supported sana ni python, inaongoza kwa libraries.

Kama programmer focus kwenye mambo ya muhimu kuliko languages, hapa naongelea data structures, algorithms na programming as in idea ya unachotaka kufanya.

Ukitaka kujua kujenga nyumba hauulizi unatumia nyundo yenye shape gani, unajifunza unaanzia wapi, msingi unatengenezwaje, nondo unaweka vipi na kwa nini. Same with programming, unataka kufanya AI, je ni nini, some techniques zikoje, ukiambiwa linear regression ujue ni nini, kwa nini unatafuta local minimum au max, hizo ni algebra mixed with statistics. Hizo ndo za muhimu kuhandle AI, hata ujifunze language zote duniani kama hujui AI concepts hutoweza kufanya chochote.

Nilivyokwambia fungua coursera au udemy au hata google nilikua serious. We ukiendelea kutafuta language na sio concept ya programming utaishia njiani ukate tamaa.
 
Nimekuelewa mkuu kwaiyo unanishauri nisome kwanza AI au?
Nakumbuka juzi tu ulikuja humu na thread unataka kujua usome language gani, ulikua unasoma C. Uliishia wapi?
Mi nadhani unajaribu too much, yaani unataka kufanya vitu vingi kwa wakati moja, unasoma kimoja, haujafika pazuri unataka uanze kingine na kingine.

Kuna vitu vitamu kwenye computer leo hii ni general AI, kesho utataka self driving cars, kesho kutwa games, utakua unahama hama, sio kitu kibaya maana unatafuta ambacho utakipenda. Ila nahisi knowledge yako ya programming bado ni ndogo sana, pa kuanzia nakushauri soma kwanza data structure na algorithms, fanya mazoezi ya kutosha unaweza pitia hata ProjectEuler.net fanya maswali hata 50 ya kwanza kuzoea algorithms. Kwa datastructures jipe mazoezi mwenyewe kwa kutengeneza apps mbalimbali, mfano wa apps ambazo zinaweza kukuchallenge.

System ya buses, mfano una vituo 20, vipo connected, unataka kutoka kituo A kwenda D, utafute njia rahisi ya kufika from A to D alafu unamrudishia user, same concept inaapply kwenye subways e.t.c. Hapo utahitaji ujue graphs na graph traversal algorithms, kujua graphs utakua umesoma other data structures kama lists.

Fanya hivyo uzoee kwanza, rudi kusoma AI baada ya mwaka, sasa hivi utakimbia tu, nikwambie ukweli sio rahisi kama unavyofikiria, kama huna hizi basic concepts hutoweza kuhandle AI. Alafu achana na C tafuta general purpose language nyingine usome ambayo inatumika sana, C ni nzuri kwa kuanzia kujifunza basic concepts za programming, ila that's it, ikimbie kama hutokaa ufanye low level stuff.
 
Asante sana mkuu nimekuelewa vizuri sana na nimependa maelezo yako kwakuwa ww ni mzoefu ungenishauri nisome language gani C++, PYTHON, JAVA etc?
 
Unataka desktop software au very intense software kama browsers, heavy kwenye calculations, games, then C++

Unataka enterprise software au mobile (Android) then soma Java

Unataka machine learning, Artificial intelligence? web servers then soma Python.

Mwisho wa siku utakaposoma language moja na ujue concepts za programming ni rahisi sana kusoma language mpya na kuanza kuitumia, nikupe mfano nilisoma Go ndani ya mwezi nikawa tayari nachangia github open source software written in go, swift wiki mbili nikawa nishaanza kutengeneza iOS apps with time unazoea na kujifunza new concepts, ila design patterns mara nyingi zinajirudia kwenye language nyingi.

Ushauri usikae unakariri syntax, utarudiarudia mara nyingi mwisho wa siku zitakaa zenyewe. Concentrate on the idea of solving the problem, don't concentrate on the tool.

Ukichagua language hapo, isome, jua basics zake, then stop, soma DataStructures kwa kutumia hiyo language, implement mwenyewe from scratch na ujue kwa nini zinatumika, mfano wa datastructures za muhimu kusoma
- Arrays
- Lists
- Maps
- Trees
*Binary Trees
*Heaps
*B trees
- Stacks
- Queues
- Graphs

Algorithms soma sanasana za sorting na searching. Zipo nyingine special purposes ila achana na hizo kwanza, you'll get to them later.

Ukimaliza hapo utakua na msingi, nadhani bila shaka utakua ushajua unataka ufanye nini next. Jaribu kukaa kiprogrammer sasa kama umeamua kweli, fuatilia kila siku, fungua google, youtube angalia videos kuhusu programming daily, watu wanafanya nini, some cool tricks. Learn learn, ila most importantly Practice Practice.

Kama baada ya miezi kama minne bado huna mwanga basi nitakushauri achana na hii field fanya kitu kingine.
 
Kwa sasa nataka nianze na python cha msingi kwenye python ni kipi?
 
Back
Top Bottom