Hii video hapa inaonyesha namna AI inavyosambaza dawa hospitalini.
Taaluma ya unesi itakumbwa na dhoruba. Manesi watapungua sana idadi, maana kwa kweli zaidi ya 75% manesi hutumia muda mwingi...
Habari zenu ndugu na mnaendeleaje na hali huko mliko?
Niende moja kwa moja kwenye mada naomba msaada WA kuweza kuficha app kwenye simu YA android huku inafanya kazi.
Na jee nawezaje kuifichuwa...
๐๐ฐ๐ต๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ง๐ถ๐ธ๐ง๐ผ๐ธ ๐ธ๐๐ป๐ฎ ๐ฎ๐ฝ๐ฝ ๐ถ๐ป๐ฎ๐ถ๐๐๐ฎ ๐ซ๐ถ๐ฎ๐ผ๐ต๐ผ๐ป๐ด๐๐ต๐ ๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ฎ๐๐บ๐ถ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐ฐ๐ต๐๐ฎ ๐๐ฎ๐บ๐ฎ๐ฟ๐ฒ๐ธ๐ฎ๐ป๐ถ
Wachina wanazidi kuwahumiza vichwa marekani ๐ฅฑ
Baada ya TikTok kuwa kwenye mpango wa kuondoshwa, watumiaji wa marekani...
Wakuu mko salama
Iwe application ya simu, desktop application, web systems zote hizi nazitengeza...
Cost za server na bundle ni juu yako application ikikamilika ndo tutagawana faida
Salam wakuu,
Mwaka Jana rasmi niliunganishwa na Tanesco umeme nikaanza kupata huduma. Waliniweka kwenye Ile tariff ambayo ukiweka umeme wa elfu kumi unapata units 28. Sasa ndugu zangu changamoto...
Wakuu kama kichwa kinavojieleza hapo, naomba mwenye kufahamu niwapi nitapata cheapest domain.
Pia,ninahitaji kujua mfumo mzima kama hosting inakuaje na gharama zake.
Hivi ndugu zangu hizi simu za mjapani naona zinakuwa trend sana huku huu mwaka mwishon hapa
Niambien zina ubora huo zinaopigiwa promo
Camera
Waterproof
Battery inatunza moto
Storage yake. Ya...
Wadau wa Jamiiforums Habari za wakati huu.
Na leta kero yangu kwenu kuhusu WhatsApp yangu kusumbua mara kwa mara. Usumbufu unatokana kuwa log out kwa madai ya account yangu kuhusishwa na spam...
Habari za wakati huu wana Jf.
Kuna issue imenitokea week iliyopita nimeenda kariakoo kununua Smart tv TCL inch 32 Tshs 380000; imejaribiwa ikawaka vizuri nikafanya malipo nikaondoka. Kufika...
๐๐ฎ๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐๐ฎ๐ป๐ฑ๐ฎ๐ผ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐ป๐ฑ๐ฒ๐ฟ ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ
Wimbi la watumiaji wa mtandao wanawake kwa wanaume wanatafuta wapenzi inazidi kushika Kasi nchini Tanzania ๐ค
Imekuwaje???๐
Kuna tabia kubwa inazidi...
Habari..
naombeni msaada jinsi ya kubadilisha subtitle kwenye chanel mfano kuna chanel inaitwa Mbc 2 hawa wanaweka muvie nzuri ila tatizo subtitle zao zipo kwa rugha ya kiarabuย
Hivi kwa nini Tanzania hakuna programmers.
Karibia wote wanaojiita Senior programmers hamna kitu ni copy & Paste naukienda kwenye social media accounts zao wanavyotoa ushauri kwa junior...
Habarini wakuu.
Kuna hawa watu hupost picha/video za kuchekesha kufundisha kuburudisha na vinginevyo katika mitandao kama vile YouTube Instagram Tik Tok nk.
Akili yangu inaniambia hii ni...
Wadau habari za saa hizinatumai wazima wa afya kama kuna mgonjwa augue pole. Niende niende moja kwa moja kwenye mada yangu
Ni hivi yaani kila nkiingia kwenye Gmail yangu upande wa social naona...
๐ฅOFFER-OFFER-OFFER BAABKUBWA๐ฅ
๐ฅ Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 55,000 Tu! ๐ฅ
1๏ธโฃ 25 NVMe SSD Storage
2๏ธโฃ Free Website Migration/Transfer
3๏ธโฃ Maximum Speed (Up to 3x)
4๏ธโฃ Kama Unaitaji...
MwanaKidigitali....hivi unajua Game ya biashara ya Laptop ipo tofauti sana kwa Ground tofauti na wengi wanavyo fikiria.
Unaweza kujiuliza kivipi ....?
Swali Zuri ...!
Nakutana na watu wengi sana...