Msaada kwa yeyote anaejua kuappgrd android version kwa manual way nkitumia optn ya sim kwny setting inafeli inaniambia ninatumia current version.
Na android version ambay iko current n 4.4.2...
Digital Ocean wanatoa free nafasi ya kujaribu cloud platform yao bure kabisa.
Unaweza kuset cloud server kwa ajili ya project yako yoyote.
Operating systems unazoweza kuzi install ni pamoja na...
Habari zenu ndugu wanajamvi….
Usukaji wa umeme wa magari na usukaji umeme wa majumba na viwanda ni vitengo viwili katika fani ya umeme kwa maana nyingine naweza kusema kitengo chochote ambacho...
Wakuu habarii za saa hizi...!! Mimi naomba msaada kwa anaejua,nina simu yangu Blackberry z30 sasa ina 4G lakini nikiweka option hiyo ya 4G hata kama line nimeisajili inaniandikia Network...
Wanajukwaa habari ya Uzima, Nina tatizo kidogo kwenye account yangu ya Twitter yaani sioni comments za watu katika tweets zote za watu niliowafollow Twitter helpers nimepekua sana tu lakini...
Nimekuwa mpenzi wa brand ya Samsung kwa muda mrefu sana.
Lakini ujio wa hii simu ya Oppo f3 plus unafanya nianze kubadilisha mawazo.
Karibuni tuichambue hapa.
Hii simu inazinduliwa Leo Kenya.
Habari za asubuhi wana jukwaa.
Naombeni utatuzi wa swali langu hapo juu nifanyeje sub woofer zangu zimeniharibia memory card zangu mbili kwa muda mfupi.
Nifanyeje?
Wale wanaopiga mziki heavy...
Wakuu nahitaji fundi anayeweza Kutoa lock Kwenye machine yangu pia nahitaji hard disk angalau gb 180 ya hiyo pc
Pc inalock lock kwenye administration siyo kwenye hard disk yaani nimejaribu...
Ni salama wadau?,,mwenye kuifahamu hiyo simu inaitwa motorola "X" (moto x), nahitaji trei ya laini yaani kichuma kinachobeba laini mwenye kuwa nacho anichek inbox tuyajenge nina shida nacho saana...
Naomba kusaidiwa hili tatizo simu yangu ( Tecno N8) inashindwa kupokea baadhi ya message ...ilihali kwa anaetuma inaleta delivery report kua nimepokea message lakini nikiangalia hakuna huo ujumbe
Habari wanajukwaa,
Nna line ya ttcl ambayo naitumia kwenye mobile router hizi za huawei (dashboard yake haina option ya kurecharge). Tatizo linakuja wakati wa kujiunga na kifurushi. Nikiitumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.