Msaada wa Ku Unlock 4G Blackberry

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
21,496
41,921
Wakuu habarii za saa hizi...!! Mimi naomba msaada kwa anaejua,nina simu yangu Blackberry z30 sasa ina 4G lakini nikiweka option hiyo ya 4G hata kama line nimeisajili inaniandikia Network searching...!! Nafanyajee..!?? Au kama unaweza kunisaidia nikutafute.. Ahsanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom