Naomba msaada, simu yangu haipokei meseji

Sisyphus

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
3,498
4,543
Naomba kusaidiwa hili tatizo simu yangu ( Tecno N8) inashindwa kupokea baadhi ya message ...ilihali kwa anaetuma inaleta delivery report kua nimepokea message lakini nikiangalia hakuna huo ujumbe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom