Tatizo la fingerprint kwenye iphone 6 plus

OHB11

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
595
Reaction score
1,444
Wassalaam ndugu
Nilikua naomba kuuliza ili nijuzwe
Je tatizo la fingerprint kwenye iphone 6 plus huwa linasababishwa na kioo endapo kama ukibadili kioo tatizo linakua fixed
Au tatizo ni system yenyewe ya ndani nikimaanisha mashine

Nawasilisha
 
Swala ni kwamba ukibadilisha kioo kwa mafundi wasio wazoefu wanakata mawasiliano ya fingerprint na motherboard.

Huwa inahitaji timing kuitia,maana ukiichunguza vizuri ilivyokaa ni kama mfuniko wa sufuria,sasa akinyanyua kioo kinyeji tu shughuli inaishia hapo.
 
Mkuu inakuaje ukibadili kioo kingine kwa mafundi wenye uzoef je fingerprint inaweza kufanya kaz kwa mara nyingne
 
Hivi kwa hali hii si ruhusa tu fundi kumlipisha wale jamaa wakifungua simu wanafungua kimaudhi asee utasema simu umeokota au wakibandua kile kioo hadi moyo unahisi una stop hivi dah!
 
Ndio maana watu hushauli kwenda kwa mafunzi maalumu,either katika store flani.

Huyu hata ukisema unamrukia akulipe anaweza akakataa tu,au akashindwa kukulipa.
 
Hivi kwa hali hii si ruhusa tu fundi kumlipisha wale jamaa wakifungua simu wanafungua kimaudhi asee utasema simu umeokota au wakibandua kile kioo hadi moyo unahisi una stop hivi dah!

Sasa mkuu me nilimpa fundi iphone 6 plus ilikua inasumbua touch ic nimempa akaiweke sawa yeye akaenda kuua mashine na simu ilikua na mwezi tangu inunuliwe aisee
Daah mkuu alaf ilikua mpya kabisa daah ukimdai jamaa anadai mama yake anaumwa so anahudumia mgonjwa daah nikaamua nimsamehe ila alinipa 80k tu wakati me simu nilinunua 600k
 
Iyo yako itakua ni fakelo

Mkuu kwan kama fingerprint inaandika fail ndy iphone fake mkuu ama sijakuelewa nini unachomaanisha au unamaanisha ni hii ya kwangu tu
 
Hivi kwa hali hii si ruhusa tu fundi kumlipisha wale jamaa wakifungua simu wanafungua kimaudhi asee utasema simu umeokota au wakibandua kile kioo hadi moyo unahisi una stop hivi dah!
Nikiwa chuga naipeleka chap kwa benson, Huku dizim labda kwa dealer kabisa
 
Sasa mkuu me nilimpa fundi iphone 6 plus ilikua inasumbua touch ic nimempa akaiweke sawa yeye akaenda kuua mashine na simu ilikua na mwezi tangu inunuliwe aisee
Daah mkuu alaf ilikua mpya kabisa daah ukimdai jamaa anadai mama yake anaumwa so anahudumia mgonjwa daah nikaamua nimsamehe ila alinipa 80k tu wakati me simu nilinunua 600k
Ilikua inasumbua nn mpaka ukabasili touch ic
 
Back
Top Bottom