Salaam wakuu,
Kwa wajuvi naomba msaada wa namna ya kununua akaunti kwa ajili ya kuDownload games za PS4.
Mashine yangu ni ya games za akaunti.
Naomba kuwasilisha.
Ehe Wapwa habari za usiku Huu harakati za kumtafuta maokoto zimekuwa Nyingi kwelikweli Nimeona weekend nijipumzishe na movies lakini pia na games
Kwa yeyote kweye games za mpira ningependelea...
Jiku Tech Tips inajivunia kuwa mshirika wako katika safari yako ya kujifunza na kukuza ujuzi wa teknolojia. Kama Full Stack Developer mwenye uzoefu na Mkufunzi mtaalamu, Jiku Tech Tips imejitolea...
Kuelewa na Kujilinda Dhidi ya Mashambulizi ya Man-in-the-Middle (MITM)
➤Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, usalama wa mawasiliano mtandaoni ni muhimu sana. Hata hivyo, kuna vitisho vingi...
Wakuu naomba mnijulishe jinsi ya kurudisha akaunti ya watsApp ambayo namba ya simu iliyotumika kutengenezea kwa mara ya kwanza ilishapotea hivyo wakati wa kufufua akaunti codes zinaingia kwenye...
Msaada WAP kwa dar naeza pata tcl smart TV inch 32 yenye built in ROKU TV maana nimezunguka madukan lakin nyingi in model za zaman ambazo hazina hii roku service. Au tcl zenye android OS atleast
Habari wakuu, natafuta laptop used, kabla ya hilo naomba kupewa abc na wataalam kuhusu pc nzuri na yenye storage ya kutosha,
Budget yangu ni laki 250000 - 300000.
So wanajukwa naomba kueleweshwa...
Wakuu,,,
Sasa nimechoshwa na haya machaja Uchwara, Simu unachaji masaa masaa 6 bado haijai.
Nisaidie Original &Fast charger kwa brand yoyote kikubwa Iwe genuine and fast na alama muhimu kuwa ni...
MALENGO YA AU MAFANIKIO YA UJUZI WA PROGRAMMING
Miongoni mwa malengo au mafanikio anayotarajia mtu anayejihusisha na programming ni kutengeneza programu za kompyuta kwa matakwa yake mbalimbali.
Na...
UTANGULIZI
JIKU TECH TIPS ni Software Developer na mkufunzi wa hatua za awali na kati za kujifunza , kufanya na kuishi Tehama ya awali, kati na juu.
TEHAMA kirefu cha maneno Teknolojia ya Habari...
COMPILER NI NINI ??
Kwa lugha rahisi , compiler ni kama mtafsiri ambaye hubadilisha maelezo yaliyoandikwa katika lugha za programu ambazo sisi binadamu tunaelewa kam vile python, java, C++ na...
LUGHA ZA PROGRAMU
Programu hizi zimeandikwa kwa kutumia lugha za programu. Hapa kuna baadhi ya lugha za programu.
Python
Java
C++
JavaScript
Ruby
C# n.k
Kwa kutumia lugha hizi programmer...
PROGRAMMING NI NINI?
Programming ni mchakato wa kuunda program za kompyuta kwa kutumia lugha za kompyuta. Programu hizo ni maagizo ambayo kompyuta inafuata ili kutekeleza kazi flani.
Mfano...
PROGRAMMING
Nilikueleza kwamba tutajifunza zaidi kuhusu teknolojia ya kompyuta katika Tehama ndio lengo na madhumuni ukiwa mdau wa Jiku Tech Tips.
Tujikumbushe maana ya kompyuta ..... Kompyuta...
AINA ZA UJUZI WA KOMPYUTA
Ujuzi wa kompyuta kwa upana unaweza kusemwa kwa namna mbili
Moja ujuzi wa kimsingi
Pili Ujuzi wa kitaalamu
Ujuzi wa kimsingi:
Ujuzi huu anahitaji mtu yoyote anaye taka...
NINI MAANA YA KOMPYUTA
Kompyuta ni kifaa cha kielektroniki ambacho huchukua taarifa/maagizo kutoka kwa mtumiaji na kuchakata taarifa / maagizo hayo chini ya udhibiti wa mipangilio ya maelezo...