Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Unatakiwa kulipia sh 15000 kwa mwezi WhatsApp: 0752182934 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Natumia adobe premiere pro cc 2017,ktk kufanya grading mzunguko wangu unakua ni mrefu sana,ila kuna jamaa alinambia kuna luts ukiitumia njia ni nyepesi sana,hasa ktk kutengeneza kitu ktk uhalisia...
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Haki miliki ya pichaEHT COLLABORATIONImage caption Picha ya kwanza ya shimo jeusi . limezungukwa na gesi inayovutwa ndani na shimo hilo Wanaanga wamefanikiwa kuchukua picha za kwanza kuhusu shimo...
3 Reactions
71 Replies
13K Views
Habari za leo wadau, nilikuwa naomba kujuzwa na mtu ambaye tayari ameshafanya project yoyote ya USSD au anajua mtu atakayeweza kunipa undani wa hili swala. Ninataka kutengeneza application ambayo...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
kwema wakuu..kati ya hiyo mitandao mitatu hapo juu..ni upi speed yake ya 4G ina power zaid?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari waungwana wa jf nina simu yangu samsung s7 tangu jumapili imeanza matatizo ya kuwaka na kuzima kuzima na kuwaka ata apa kabla sijaanzisha huu uzi imezima na kuwaka wakuu samahan nisaidieni...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mara nyingi mvua ikinyesha DSTV matangazo yanakatika. Kwa mwezi huu wa nne na masika hizi si ajabu mvua ikanyesha wiki nzima au mara tano kwa wiki na hapo hutaona matangazo ya DSTV. Je hapo si...
19 Reactions
203 Replies
29K Views
Wakuu, Anahitajika mtaalam wa maswala ya computer hasa networking. 1) Awe na uwezo mkubwa kwenye mambo ya system security kwenye networking. 2) Awe na uwezo wa ku hack/ ku identify potential...
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Naweza pata wapi pia nmna ya kuprint T-shirt, na kuprint business card
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini za jioni kwenye account zetu za adsense na admob tumeandikiwa hivi. “Your payout amount is more than your chosen form of payment can accept in your country. To continue getting paid...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau Magenerali wa JF nisaidieni naweza kupata wapi hio Taa nipo DSM!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari, Naomba kujuzwa application nzuri inayoweza kuzuia sms na calls za mtu uliyemkusudia. Kama inapatikana kwenye play store itakua vizuri zaidi. Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
0 Reactions
9 Replies
5K Views
TAYARI ISHAUZIKA
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu kama ujumbe unavyosomeka naomba mwenye utaalamu anisaidia kwani kuna vitu vya muhimu sana sivioni!asanteni!
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Jamani naomba msaada w ku unlock simnetwork ya Samsung galaxy J7 model SM-G700M. Maana imelock ghafla. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
636 Views
Msaada tutani, Napenda kazi ya kupiga picha. Je, ni vifaa gani muhimu natakiwa kuwa navyo kwa kuanza? Je, nitumie camera aina gani yenye specification zipi ili niweze pata picha nzuri...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
NAOMBA MSAADA KUJUA GOOGLE ADSENSE PIN HUWA WANATUMA HAPA TZ INACHUKUA MUDA GANI KUFIKA NA NJIA GANI WANATUMIA DHL,POSTA ,CDS AU
0 Reactions
2 Replies
816 Views
Mwenye nayo AMBAYO tayari imekubali Monetization au channel imekuwa approved na google adnsense aje tukubaliane aniuzie. thanks
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari..Ram ya Dell latitude d800 Inahitajika Kama unayo eka picha Na Bei ake
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau naomba kusaidiwa namna ya ku-download bure vitabu mtandaoni. Pia kwa mwenye website ya vitabu vya sheria, historia, riwaya na siasa anisaidie.
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…