Kugeuka
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 333
- 225
Natumia adobe premiere pro cc 2017,ktk kufanya grading mzunguko wangu unakua ni mrefu sana,ila kuna jamaa alinambia kuna luts ukiitumia njia ni nyepesi sana,hasa ktk kutengeneza kitu ktk uhalisia wake. Mfano ngozi ya mtu ikabaki ilivyo na ukang'arisha wingu vizuri na kukawa na muonekano babu kubwa. Kwa anayejua luts hizi msaada plz