nguzo1
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 355
- 582
Wakuu,
Anahitajika mtaalam wa maswala ya computer hasa networking.
1) Awe na uwezo mkubwa kwenye mambo ya system security kwenye networking.
2) Awe na uwezo wa ku hack/ ku identify potential loopholes kwenye online applications mbalimbali
3) Vyeti sio kipaombele bali awe na uwezo wa kujismamia mwenyewe
SALARY
Kutakuwa na shared profit kwa kila mapato yatakayopatikana kwa kila project.
Send me a private message if your interested.