Wadau heshima Yenu,Nimeamua kutengeneza System/Database itakayoweza kuhifazi taarifa/kumbukumbu mbalimbali za waumini kwa madhehebu yote ,yaani mfumo unaweza kufanya kazi kwa dhehebu lolote.Mfumo...
Nahisi nimepoteza kazi yangu kizembe sana!
Kuna document nilikuwa naiandaa online kupitia www.offidocs.com kisha kwenye kusave nikachagua upoad to google drive.
Ilivyomaliza ikaniandikia...
Msaa ninakwama hapa nina kadi yangu ya visa ya crdb hua naitumia kufanya miamla mbali mbali online sasa changamoto imekuja nataka nilipie lav software flan bei yake ni usd 75 kila nikijarbu...
wakuu habari zenu.
nna compyuta nmeirestore jana lakn tangia nilipoirestore nkiiwasha na kugungua program inaload sana inaweza kuchukua hata lisaa.programm nyingne zmegoma kugunguka...
PC yangu ina tatizo la baadhi ya software kama Dev c, Microsoft Point, Excel,Word nikifungua nikaanza kutumia kimfano kwenye Microsoft PowerPoint nikihitaji ku Insert picture inafail inatoka...
Habari wanajukwaa!
Kama heading inavyojieleza, msaada wenu Jinsi Kufungua Tecno Spark 2 maana Mdau Kasahau Password.
Natanguliza Shukrani zangu za dhati Kwenu!
Naomba msaada kwa mwenye ujuzi la hili.
Natumia Whatsup aina ya GB namaanisha GBWhatsup .
Karibu wiki ya pili nimekuwa barned kutumia nabata notification kwamba hii sio official watsup bali ni...
Habari Wakuu.
Nina Powerbook g4 ambayo imekufa HDD nimejitahidi kureplace HDD mpya ukiwasha kinakuja kibahasha chenye question Mark ila nashindwa Kuinstall mac OS X maana sina installation CD...
10 Reasons For The Importance of a Website
Reason #1 – Online brochure
Companies spend millions creating brochures and distributing them. By having a website you can skip that entirely. Your...
Hello guys habari zenu..... naombeni msaada kwa wenye utalaam wa namna ya kuweka nyimbo ktk i phone ili niweze ku-enjoy pia kwa kusikiliza music bila kustream kw internet....
Wote mnakaribishwa kweye group whatsap kwa ku share idea..
Karibuni katika group linaitwa
Mafundi amplifier|pamoja bofya hio link hapooo[emoji117][emoji117]...
Habari wa teknolojia,
Naomba mnisaidie mawazo na ushauri ni namna gani naweza jifunza designing ya graphics. Kwa sasa ni mwajiriwa kwenye idara ya communication hivyo nimegundua nahitaji sana...