Wakuu salamu!
Kama heading ilivyo, naomba msaada kwa anayejua. Rafiki yangu aliweka pattern kama lock ya simu (aina ya Oppo F1s) siku chache zilizopita, sasa akaniletea ili niweze kumsaidia...
NB: Ukichangia Toa Sababu Strong usiende na Upepeo lengo ni kujua kwanini tunatumia Simu zetu na kipi cha kujifunza ambacho hukijui
Android ni Program endeshi(OS) inayotumika kwenye Brand nyingi...
HABARI ZENU NNATAKA KUTUMIA AI KUTENGENEZA VIDEO NAOMBA KUJUA IPI NZURI KATI YA GROK AI AU DEEPSEEK AU KM KUNA NYINGINE YOYOTE NZURI ZAIDI YA HZO NAOMBA KUJUA
Kama unatumia iphone au Android leo nakupa tricks 3 za kutoa picha kali kwenye simu yako. kutoa picha kali sio uchawi ni Settings tu unafanya na kuifanya simu yako iweze kutoa picha kali...
USITUMIE SOFTWARE YA WIZI (CRACKED): Hizi Ndio Hatari 4 Kuu Unazojitafutia Mwenyewe
Imeandikwa na MalekoGJ
Katika dunia ya sasa ya kidigitali, wengi wetu tumewahi kushawishika kupakua software ya...
Ipi ni sahihi..?
Kuchaji simu mpya au power bank mpya kabla ya kuitumia
AU kuitumia kwanza hadi 0% kisha kuchaji..?
Maana Kuna wengine wanatushauri tuanze kwanza kuchaji kabla ya kutumia, wengine...
Teknolojia inazidi kushika kasi watumiaji wa window 11 na window 10 wamewekewa mfumo Rahisi wa kuweza kuingiliana kati ya simu na kompyuta na kuweza kutumika bila shida yoyote.
Tunajua wengi...
Karibu Tantech ujipatie huduma mbalimbali kwa bei nafuu kama website,system,application design.,Digital marketing,social media boosting
followers
tiktok 1k=8000tzs
instagram 1k=8000tzs
likes...
Huawei imezindua mfumo wake binafsi wa kompyuta na imetoa laptop yake
ya kwanza kutumia mfumo wa uendeshaji wa HarmonyOS, baada ya leseni yake ya kutumia Microsoft Windows kumalizika mwezi Machi...
Habari zenu wakuu, nina shida kidogo nahitaji ufumbuzi. Miezi miwili iliopita nilinunua gari toka Japan (2001 Land Cruiser Prado) na kwa sasa limeshafika na nimeanza kulitumia. Tatizo ni kwamba...
Top 10 Hacking Attacks Zilizotikisa Dunia (Kwa Historia, Impact, na Ujanja)
---
1. The Melissa Virus (1999)
Iliundwa na David L. Smith
Iliambukiza Microsoft Word docs kupitia email
Ilienea...
Phishing Link ni Nini?
Hivi ushawahi kuona zile link zinakuja WhatsApp zinasema:
"Tazama nani anakupenda,"
"Bonyeza upate GB 50 za bure,"
au "Tazama nani anakuchukia kwenye group."
Zile link...
USHAWAHI ZURURA KWENY SIMU UAKO UKAKUTA NENO "NFC" 🥲 AU WATUMIA 😂 INFINIX okay
NFC NI KIFUPI CHA (Near Field Communication)
NFC ni teknolojia ya wireless communication inayoruhusu...
Kwa Nini Huwezi Kumuhack Mtu Mwenye Simu Ndogo A.K.A kiswaswadu
mfano Tecno T301, Itel i2180 etc.
1. Hazina Operating System ya wazi (kama Android/iOS)
Hakuna OS yenye uwezo wa ku-run malware...
IFAHAMU eSIM | LAINI YA KIDIGITALI!
Wengi huenda Mmesikia Mahali au wengine mmeona Neno “eSIM” na hamjaelewa nini Maana yake, Karibuni tuifahamu vyema Huduma ya eSIM na maana yake.
🔎 eSIM NI...
USHAWAHI ZURURA KWENY SIMU UAKO UKAKUTA NENO "NFC" 🥲 AU WATUMIA 😂 INFINIX okay
NFC NI KIFUPI CHA (Near Field Communication)
NFC ni teknolojia ya wireless communication inayoruhusu...
A few weeks ago, I made a decision that could shape my future: I started learning front-end development.
My focus right now is on HTML, CSS, and CMS platforms like WordPress. It’s exciting...
Habari na poleni na majukumu wanajukwaa,
Hivi karibuni nimekuwa nikijihusisha na kutengeneza web applications zinazojumuisha maswala ya malipo. Kwa kipindi hicho chote, nilikuwa natumia APIs za...