Habari wakuu
Nahitaji mtu wa kunifundisha kwa week 1 tu, adroid app programing by using android studio.
Nimeshajifunza mwenyewe hii android studio shida kunabaadhi ya vitu ningepata ufafanuz...
Ukipata Ban Futa Official whatssap ya kutoka playstore, then install Gb whatssap na Yo whatssap .au install moja kati ya hizi mambo hayatasumbua niliwahi kula BAN lakini toka nimetumia ujanja huu...
Ninafikiria kununua flat screem tv lakini watu wanasema zina matatizo sana kulinganisha na tv za kawaida-yaani zile za chogo( cathode ray tubes)
Madai haya yakanifanya nifanye utafiti kidogo...
Habari wakuu.Nina TV ni smart aina ya TCL sasa shida iliyopo haioneshi channels nyingi kama ilivyo kwa smart tv zingine.Inakamata channels za ndani tu tena sio zote ni baadhi tu.Antena nime...
Wadau na mafundi wa kuingiza frequence kwenye ving'amuzi naombeni msaada.
Mimi natumia king'amuzi cha zuku lakini frequence za kampuni nyingine hivyo basi ni mwezi karibia unaisha sioni chochote...
PC : PERSONAL COMPUTER
CPU : CENTRAL PROCESSING UNIT
OS : OPERATING SYSTEM
UPS : UNINTERRUPTIBLE POWER SUPPLY
RAM : RANDOM-ACCESS MEMORY
ROM : READ-ONLY MEMORY
LCD : LIQUID CRYSTAL DISPLAY
LED ...
Afya ni kitu cha msingi sana kwani kuwa na afya njema ndipo kunatupa nafasi ya kuendelea kuishi na kuendelea kujifunza mambo mbalimbali ya teknolojia. Kuliona hili leo nimeona nikuletee makala...
Wakuu,
Husika na kichwa tajwa hapo juu
Nimekuwa ''nikiinjoi'' hii wasap isiyo halali kwa muda kidogo, lakini tatizo hunishinda kwenye kui-upadate yaani nikijaribu nashindwa kabisa Mara matangazo...
Ndugu wadau,
Heri ya mwaka mpya?, na tupeane pole kwa kukosa JF katika wakati mahsusi wa mwaka mpya.
Kama title yangu inavyosema, bninaomba msaada kwa anayefahamu anipe maelekezo ya mambo...
Habari zenu wakuu. Naomba msaada wa gharama za makadirio za kutengeza website kama ya Jamiiforum na gharama kadirishi za kutengeneza app kama ya JF.
Je wanapataje kipato ukitoa matangazo na user...
Habari wana jamvi, ninataka kuanzisha platform tuelekezane masuala ya kielectronic practical wise, hii inajumuisha ku design circuit pamoja na softwares zinazohusika. So kama kuna wapo interested...
San Francisco(CNN Business) 5G, the next generation of ultra-fast wireless, is now available in the US. But the catch is you'll need to be in the right city with the right device to access it...
Habari za asubhi wajuvi,
nitumia sony xperial z2 nashindwa jinsi ya kuapdate toka android 6 kwenda android 9. Masada kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya jambo hili tafadhali.