Kingamuzi changu kimepoteza signal

Kingamuzi changu kimepoteza signal

astranaut

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
1,276
Reaction score
1,024
Wadau na mafundi wa kuingiza frequence kwenye ving'amuzi naombeni msaada.
Mimi natumia king'amuzi cha zuku lakini frequence za kampuni nyingine hivyo basi ni mwezi karibia unaisha sioni chochote kuhusu signal(signal intest&quality)zmepotea kabisa sina imani kama dishi limeyumba lahasha bali nilivojaribu kuulizia niliambiwa kampuni husika nilyokua nachukulia frequence imebadili frequence.
Hivyo basi naombeni msaada wa anaejua kuingiza signal za kampuni tofauti kwenye king'amuzi cha zuku anisaidie
 
Wekwani upo mkoa gani?
 
Back
Top Bottom