ANDROID DEVELOPERS

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,704
2,363
Habari wakuu
Nahitaji mtu wa kunifundisha kwa week 1 tu, adroid app programing by using android studio.
Nimeshajifunza mwenyewe hii android studio shida kunabaadhi ya vitu ningepata ufafanuz mzuru.

Languange nilizo soma PHP java, visual basics, c++

Kama mtu yupo tayari naomba ani PM

Natanguliza shukrani

Mwenyezi Mungu awabarki.
 
kama ni mwenyeji hapa Jukwaani hizi picha sio ngeni zinaendeshwa na member hapa JF Stefano Mtango
14355631_956409667818636_3224244285239136796_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom