Galaxy Tab E 9.6 SM-T560NU USA ModelMaelezo hayatoshi kuna Tab E nyingi sana. Ungesema exactly model ipi.
Unless unaipata chini ya laki 2, sishauri mkuu uinunue, ina sd 410 ambayo ni ya kizamani sana. Kwa budget yako hupati tab A hata ya 2016 yenye exynos 7870?Galaxy Tab E 9.6 SM-T560NU USA Model
Nimeipenda hii galaxy tab e ni toleo la nyuma kidogo wanaojua inafaa inaitwa Galaxy Tab E 9.6 SM-T560NU USA Model