ELECTRONICS DESIGN AND CAD Softwares

Syston

JF-Expert Member
Nov 6, 2017
243
339
Habari wana jamvi, ninataka kuanzisha platform tuelekezane masuala ya kielectronic practical wise, hii inajumuisha ku design circuit pamoja na softwares zinazohusika. So kama kuna wapo interested ifahamike halafu tuunde utaratibu wa namna ya kufudishana. Hii inalenga kukuza uwezo binafsi kwani utafiti mdogo unaonesha watu wengi wanaamii ku desgn ni kazi ngumu sana. Lakini ukweli umefichwa vitabuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom