๐ฅ๏ธ Jinsi Rahisi ya Kukagua Utendaji wa Kompyuta Yako kwa Kutumia PowerShell (Windows Experience Index)
By Maleko
๐ง UTANGULIZI
Kabla hujanunua laptop mpya au kubadili kifaa chochote, ni muhimu...
Wadau naomba msaada wa transponder mpya za Azam TV kwa mwenye king'amuzi chake kilichopokea maboresho.
Sipati channel za nyumani kwenye list ya channel zangu.
Kusambaa kwa internet kunabadilisha namna tunavyoishi na kufanya mambo, kwangu mimi imeondoa matumizi ya ving'amuzi(tv decoders) sasa natumia apps kuwatch kila kitu Tv channels, movies, michezo...
Apple iko kwenye mpango wa mwisho wa kuleta miwani ya kisasa "Smart Glasses" ambayo itaweza kuleta ushindani na miwani bora kabisa ya Ray - Ban Toka Meta.
Kulingana na Ripoti ya Bloomberg chips...
Hongera kwa Watumiaji wa iPad! Kuanzia Leo tarehe 27/05/2025, WhatsApp Inapatikana Rasmi Kwenye iPad Yako!
Kwa muda mrefu, ilikuwa ni ndoto tu. Watumiaji wa iPad wamekuwa wakitamani na kusubiri...
Jamani kama Kuna IT anaweza mambo ya mifumo vizuri,naomba msaada Kuna web nataka nianzishe sijui pakuanzia naomba anicheki Dm nitajieza vizuri, na Kwa upana zaidi Asante.
Katika dunia ya sasa ya kidigitali, kuuza bidhaa si lazima uwe na duka la kupanga โ simu yako na intaneti inatosha kabisa kuendesha biashara yenye mafanikio.
Haijalishi unauza nini: iwe ni bidhaa...
Habari wakuu ,short and clear natumai ni wazima
Msaada jamani mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia samsung A42 5G vipi wakuu iko poa upande wa camera na ubora wake vipi kuna kipengele au...
Leo nakuletea prompt bora za kujaribu kwenye chat Gpt Utaweza kuzibadilisha picha zako kwenye Muonekano wa kipekee sana na kushangaza kupitia simu yako.
Chat Gpt prompt!! Ni maneno ambayo...
Tarehe 16.7.2024. Nilliibiwa simu ktk eneo langu la kazi. nikaenda polisi kutoa Taarifa wakanipa RB baada ya hapo nikaambiwa ni subili mpelelezi, kufika kwa mpelelezi, ananiambia kutrack simu kuna...
Kutana na kijana anaitwa Md Shariar Shanaz Shuvon mwenye umri wa miaka 17 aliyejifundisha binafsi jinsi ya kufanya udukuzi kutoka Bangladesh india.
๐ญ Aliweza kugundua udhaifu mkubwa kwenye mfumo...
Habari zenu wakuuu, hope ni wazima wa afya !!
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nina Samsung Galaxy A71 ambayo nilinunua mwaka Jana Nilivyojiunga na Chuo Hapa Dar mwezi wa Kumi na moja ...
Kuna wale watu wanawekaga password kwenye simu zao halafu wanasahau kabisa wanajikuta wanataka ku format simu zao ๐ bila kupenda ??
Relax kuanzia Leo kama umesahau password kwenye simu Yako una...
Ni wakati sasa jamiiforums ibadilishe muonekano wa app na kuongenza features ili kuendana na wakati ilikujiweka nafasi nzuri ya ushindani
Ili kuoata watumiaji wapya
wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo hapa unapost kazi yako ya graphic tunacheki kama inamakosa tunakosoa unarekebisha unajikuta unawiva katika graphic design
UTAPELI WA โTUMA KWA NAMBA HIIโ UPO HATARINI ZAIDI KULIKO UNAVYOFIKIRI
Na Goodluck Maleko J
UTANGULIZI
Katika zama hizi za kidijitali ambapo kila kitu kinatokea kwa njia ya simu, kumekuwa na...
Kama uliona simu ambazo ni foldable kama Samsung Galaxy Z fold, Galaxy Z flip na simu nyingine kama hizo ambazo ni foldable fahamu pia kuna laptop imetoka ambayo pia ni foldable ambayo ni Huawei...