Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Tunatafuta NodeJs developer. Kuna kazi ya siku chache tuu. Kama una skills za kutosha ni PM.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba msaada kwa anayejuwa app ambayo naweza kutumia kununua vitu mtandaoni kama vile compyuta au phones. Iwe used au new but from nje km china au kokote. Ila iwe wanafanya biashara na watanzania.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Vodacom Tanzania wanazingua sana. Jana niliweka 20k yangu ya ngama mpesa ili nijiunge kifurushi cha internet cha wiki cha 10GB(kilikuwa 15k sasa ni 20K, dah! 🤦‍♂️), ambacho kipo located kwa menu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya kuweka Window 10 nikaamua kuweka software mpya kama vile Mozilla Firefox na Chrome ili nifanye kazi zangu. Cha ajabu kila nikitaka kuziINSTALL zinaniletea maandishi haya THIS APP CANT RUN...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natumaini wote ni wazima. Naombeni msaada wenu, sehemu gani Dar naweza pata Redmi airdot earbuds pamoja na bei yake..
1 Reactions
2 Replies
935 Views
Kwa nini hizi codes zinarudisha 'None'. Nimescrape kupata price ya hiyo item S%P 500 Index import requests url="https://www.bloomberg.com/quote/SPX:IND" biz_r=requests.get(url) from bs4 import...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wajuz wa mambo ya kompyuta naombeni msaada wa maelekezo nn nifanye. Kwny komputa yangu haifungui program na files zote. Yatito Ni nin hasa. Nimeambatanisha na picha halisi inavyoandika nikifugua...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Wajuz wa mambo ya kompyuta naombeni msaada wa maelekezo nn nifanye. Kwny komputa yangu haifungui program na files zote. Yatito Ni nin hasa. Nimeambatanisha na picha halisi inavyoandika nikifugua...
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Habari, naomba msaada JF app yangu nikitumia kidogo inakuwa nzito sana kiasi kwamba lazima ni clear cache na kuclear data ndio naweza kulog in tena. Msaada nifanye nn au tatizo ni simu
1 Reactions
8 Replies
933 Views
Katika Tanzania hii ambayo vyuma vimekaza.Sisi tusio na uzoefu sana na computer tunaomba uzoefu/njia na maujanja namna ya kuinstall program mbalimbali kwenye compyuta iwe ni laptop au desktop...
0 Reactions
25 Replies
11K Views
Wapendwa wanajf natumai wote mu wazima. Swali langu ni je IDM huwa ina matumizi yapi kwa simu android?
0 Reactions
4 Replies
902 Views
NILIKUWA NA ULIZA KAMA CHUO CHA RUCU ni kizuri kwa kozi ya COMPUTER SCIENCE IN SOFTWARE ENGINEERING
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau naombeni msaada Nikishusha mafaili yangu ya takribani gb 8 kwa vifurushi vya usiku kuna muda internet inaweza ikakata na kurudi nikiwa nimelala, internet inapokata idm inaleta error kwamba...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama wewe unahusika na mambo ya IT, unaweza kutengeneza App na Web na mautundu fulani fulani nitafute. Nina idea nataka tuifanyie kazi na kupiga hela. Nicheck WhatsApp: +255 620 34 34 17
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar za majukumu wakuu, niende moja moja kwenye maada. Naomba mnishauri ni kipi sahihi cha kufanya napokuwa najenga miundombinu ya maji. Ujenzi wa mtandao wa kusambaza maji unahusisha utandazaji...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Hivi kuna tofauti gani kati ya kozi zifuatazo... Bachelor Of Science In Computer Science in Software Engineering na Bachelor of Computer Science Na ipi kati ya hizo ni bora zaidi
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habarini Napenda kujuzwa ili mpaka kwenye mtandao wa kijamii wa instagram uwekwe kwenye sehemu au category ya sponsored inatakiwa ufanye nini au inakuaje
0 Reactions
8 Replies
2K Views
> Misscalls and msgs. Unakuta mtu anakutumia msg, halaf anakupgia kukuuliza "ile msg yangu uliipata?" meen! Tuko 2019 karne ya 21. Hili si swali la kuuliza. Hz digital devices tunazotumia...
3 Reactions
1 Replies
978 Views
Haina tatizo lolote ,home button inafanya kazi vyema ni mpya ,nilireset settings na baadae nimekuja kuweka finger print inascan kisha ikamalizia kufeed kidole mwishoni kabisa inagoma kimstari...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar za muda huu wajomba, naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu topics za algorithms na material yake kwa wanafunzi wa cs/ se/ ce wa vyuo hivi udsm, udom,dit. Niko open university IT ,topic ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…