MSAADA: PC yangu inaniletea maneno haya baada ya kuipiga Window 10

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,447
error-in-windows-10-this-app-cant-run-on-your-pc.jpg

Baada ya kuweka Window 10 nikaamua kuweka software mpya kama vile Mozilla Firefox na Chrome ili nifanye kazi zangu.
Cha ajabu kila nikitaka kuziINSTALL zinaniletea maandishi haya
THIS APP CANT RUN ON YOUR PC.
To find a version of your PC check with the software publiisher.

Naombeni msaada wenu wana JF
 
Weka picha
 
Bila shaka ulijaribu ku install mozzilla au program ambazo ni kwaajili ya window 7 we ukaweka katika window ten kwahiyo baada ya kuinstall window ten unatakiwa kila unachodownload mbele yake umalizie for window 10...
 
Inaweza kuwa ni smartscreen filter Sso try kui disable au kama ni admin privlages ya kurun hiyo app
Because ni browser sidhani kama ni version ila jatibu kurun a compatibility test na ikikataa check system for errors na "sfc /scannow"
 
Bila shaka ulijaribu ku install mozzilla au program ambazo ni kwaajili ya window 7 we ukaweka katika window ten kwahiyo baada ya kuinstall window ten unatakiwa kila unachodownload mbele yake umalizie for window 10...
Ubarikiwe sana mkuu nimeshalitatua tatizo.
 
Back
Top Bottom