Highlife Tanzania Wacheck insta,Fb,na Whatsapp wapo Upanga ni Wahindi huwa wanaleta bidhaa zote genuine ambazo k/koo hazipatikani hizo za MI,OPPO,JBL,SONY n.kNatumaini wote ni wazima.
Naombeni msaada wenu, sehemu gani Dar naweza pata Redmi airdot earbuds pamoja na bei yake..
View attachment 1189408View attachment 1189409