Kuinstall program kwenye computer

Kuinstall program kwenye computer

mikedean

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Posts
3,271
Reaction score
4,654
Katika Tanzania hii ambayo vyuma vimekaza.Sisi tusio na uzoefu sana na computer tunaomba uzoefu/njia na maujanja namna ya kuinstall program mbalimbali kwenye compyuta iwe ni laptop au desktop.

Hii ni kwa sababu ukienda kwa mafundi wanakupiga hela ku-update tu anti -virus.lakin kumbe tungepeana maujuzi humu tukasaidia namna ya kuintall progam mbalimbali.

NB: Kama kuna uzi wa namna ya kuintall madude kwenye pc/dtop basi wadau mtupe link iwe rahisi zaidi.
We are family!JF my family love you always.

Thanks.
 
Kwa mfano naweza kudownload antivirus mfano avast ;kwenye simu,nikaitransfer kwa USB kisha nikainstall kwenye pC?
Ndio unaweza sema itategemea na hio installer, Kuna online na offline installer. Offline installer utainstall program Bila kutumia internet, na online installer utahitaji internet kuinstall.

Pia kwa ant virus Kama huna Hela ya kununua vyema baki na windows defender aka microsoft security essential.
 
Nimeona baadhi ya watu wanasema window defender sio bora kompared na hizi kama avast,AVG n.k kwa uzoefu ndugu yangu je,avast kuiinstall itahitahi internet au haiitaji?

Windows defender ipo vizuri mkuu, tena ukiwa unafanya updates za OS yako sasa hivi ina cloud ya avast, so imezidi kuwa strong antivirus.
Nimeona baadhi ya watu wanasema window defender sio bora kompared na hizi kama avast,AVG n.k kwa uzoefu ndugu yangu je,avast kuiinstall itahitahi internet au haiitaji?
 
Nimeona baadhi ya watu wanasema window defender sio bora kompared na hizi kama avast,AVG n.k kwa uzoefu ndugu yangu je,avast kuiinstall itahitahi internet au haiitaji?
Za kulipia lakini,

Ila za bure nyingi Ni sawa.

Na Kama una windows latest yenye updates zote huna haja ya kuhofia virusi.
 
Ahaaa.kumbe.basi ngoja nichimbue zaidi ndani ya pc.na unajuaje kama window ni latest.maana mi najua tu kuna window 10 na kuiupdate ni mpaka ilete ujumbe,je,unaweza kuwekewa window 10 na isiwe latest,na hivyo kukosa baadhi ya feature?
 
Ndio, kikawaida ukiweka windows 10 haiwi up to date.
Uki-install windows 10, baada ya hapo ni lazima ui-update. Tena sasa hivi uhakikishe ver 1903 ya windows 10 a features zake zote umeweka. Hapo unakuwa fresh. Ila ili uwe up to date, kama unajiweza kila siku check for new updatea au angalau kila wiki ingia online ucheki updatea na kuziweka. Mashine yako inakuwa fresh na fast..
 
Kwakuongezea wengi mnatozwa hela na mafundi kwa uzembe wakutoku update system mara kwa mara.. binafsi i trust in windows security assential... ni mwendo wa ku update tuu
 
Pia kuongezea kuna programs zinapatikama free bila malipo ambazo ni basics kwa matumizi ya pc yako.
Inahitaji uwe na network ila kudonwload
Mfano
Browsers
Media players
Convertors
Pdf readers
Nk
Kuna site nyingi sana
Na nyepesi kutumia

Filehippo.com(https://filehippo.com)
Cnet
Uwe na internet
katika Tanzania hii ambayo vyuma vimekaza.Sisi tusio na uzoefu sana na computer tunaomba uzoefu/njia na maujanja namna ya kuinstall program mbalimbali kwenye compyuta iwe ni laptop au desktop.
Hii ni kwa sababu ukienda kwa mafundi wanakupiga hela ku-update tu anti -virus.lakin kumbe tungepeana maujuzi humu tukasaidia namna ya kuintall progam mbalimbali.
NB:kama kuna uzi wa namna ya kuintall madude kwenye pc/dtop basi wadau mtupe link iwe rahisi zaidi.
We are family!JF my family love you always.Thanks.
 
Ahaaa.kumbe.basi ngoja nichimbue zaidi ndani ya pc.na unajuaje kama window ni latest.maana mi najua tu kuna window 10 na kuiupdate ni mpaka ilete ujumbe,je,unaweza kuwekewa window 10 na isiwe latest,na hivyo kukosa baadhi ya feature?
Una update tu Kama una windows 10, ikitoka version mpya watakutaarifu.
 
Ahasante sana ndugu
Ndio, kikawaida ukiweka windows 10 haiwi up to date.
Uki-install windows 10, baada ya hapo ni lazima ui-update. Tena sasa hivi uhakikishe ver 1903 ya windows 10 a features zake zote umeweka. Hapo unakuwa fresh. Ila ili uwe up to date, kama unajiweza kila siku check for new updatea au angalau kila wiki ingia online ucheki updatea na kuziweka. Mashine yako inakuwa fresh na fast..
 
Je ipi ni njema kati ya kuconnect bando toka kwenye sim kwa kutumia hotspot au wifi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom