Haya matangazo ya "Sponsored" ya Instagram iko vipi?

Haya matangazo ya "Sponsored" ya Instagram iko vipi?

nkanziga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
700
Reaction score
1,117
Wakuu habarini

Napenda kujuzwa ili mpaka kwenye mtandao wa kijamii wa instagram uwekwe kwenye sehemu au category ya sponsored inatakiwa ufanye nini au inakuaje
Screenshot_20190822-135205.jpeg
 
km ulivyoelekezwa hapo juu wewe Google tu ujiunge na malipo
kwani huko ni kujitangaza kwa biashara zako iwe Mabasi, Chinga's au Mama ntilie UTALIPIA na member watakufuata huko
 
Kwanza inatakiwa akaunti yako ya instagram uibadilishe iwe ya biashara. Ikishakuwa ya biashara hapo utaweza kupost sponsored ila unalipia
Unalipia bei gani?
 
kuna tovuti inaitwa bussiness.facebook.com hii inatumiaka kuweka matangazo kwenye website zote zinazomilikiwa na fb na soon matangazo yana kuja kwenye whatsapp status. Tembelea post zangu za nyuma nilishanga comment hii kitu kwenye jukwaa la bishara, nakumbuka kama niliongelea CPC, CPI, CPV au tembelea hiyo website
 
Back
Top Bottom