Aureus Ndimbo
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 211
- 95
Wajuz wa mambo ya kompyuta naombeni msaada wa maelekezo nn nifanye. Kwny komputa yangu haifungui program na files zote. Yatito Ni nin hasa. Nimeambatanisha na picha halisi inavyoandika nikifugua. Ahsanten snaView attachment 1189520